Nimefiwa na Mama Mzazi

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Assalamu Alaikum

Admins, Moderators na members wote wa Jamiiforums

Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba wa Mama yangu Mzazi, amefariki usiku wa kuamkia leo, na Insha'Allah maziko yatafanyika leo jioni.
___
"Ewe Mwenyezi Mungu msamehe Mama yangu na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye ewe Mola wa viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake"

"Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Utulipe wafiwa kwa msiba huu na utupe badili yake bora kuliko huo na utukutanishe tena peponi Insha'Allah"
 
Mkuu pole sana kwa matatizo . Mungu awape nguvu kipindi hichi kigumu . R.I.P MAMA .
 
Dah mkuu pole sana Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mungu ametoa na Mungu ametwaa jina la Bwana libalikiwe
 
Pole sana mkuu, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi kwenye wakati huu mgumu kwako
Lakini hii sredi huku ilipo sidhani kama ni sehemu sahihi
 
Pole sana kwa majonzi makubwa uliyokutana nayo. ahsante na hongera kwa kutuonyesha umuhimu huu wana jf kutujisha juu ya habari hii pamoja na courage hii katika kipindi kigumu kama hicho
 
Pole sana kaka! Nawaombea Mungu afanye wepesi na mzike salama. Take heart and may the Almighty God see you thru this difficult time.
 
pole sana ustaadh x paster kwa maswahibu yaliokupata..

Mungu akupe moyo kipindi hiki chote cha msiba..
 
Pole sana mkuu, Mwenyezi Mungu akupe nguvu kwenye kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana mkuu.
Mungu akupe wewe na familia yako faraja katika kipindi hiki kigumu.
Apumzike kwa amani mama. Amina
 
Assalamu Alaikum

Admins, Moderators na members wote wa Jamiiforums

Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba wa Mama yangu Mzazi, amefariki usiku wa kuamkia leo, na Insha'Allah maziko yatafanyika leo jioni.
___
Ewe Mwenyezi Mungu msamehe Mama yangu na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye ewe Mola wa viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake

Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Utulipe wafiwa kwa msiba huu na utupe badili yake bora kuliko huo na utukutanishe tena peponi Insha'Allah
Pole sana mkuu!
Msiba upo wapi?
 
Back
Top Bottom