Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ujana (18-35) ni wakati wa kutengeneza maisha yako ya baadaye. katika elimu au ktk shughuli za maendeleo, ukicheza ktk kipindi hiki finali yako itakua ngumu sana. Nikiwaangalia huyu Fataki na suga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
PRESIDENT Jacob Zuma will tie the knot again next weekend in a traditional ceremony in Nkandla. Naona umri kama umeenda ..anawezaje kuwaridhisha hawa wote?
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Katika watu ambao wamepambana na misukosuko hapa jijini, naweza kusema mimi ni mmoja wao. Na labda niseme tu kwamba tabia yangu ya kiherehere na kupenda ujiko, iliniletea kasheshe nyingi sana...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Uko kwenye mizunguko yako maeneo mbali na nyumbani kwako, mara ghafla anakutokea mwanamke usiyemjua kabisa na anakwambia kwa sauti kiasi cha kuwavuta wapita njia wengine waliokuwa wakipita na...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Hebu tuchukulie kwamba umeoa au umeolewa au pia uko kwenye mahusiano,halafu unamkuta mpenzi/mke/mumeo anajiridhisha kimapenzi mwenyewe,kwa wanaume wanasema kujichua kwa wanawake sikumbuki hii...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Kaja na shuga mami la ukweli lina umri kama miaka sitini. Jamaa akaanza kujiuliza, hivi huyu mzuri hivi, je mwanae atakuwaje? Muda ukazidi kwenda huku vinywaji vikali vikiendelea kunyweka. Shuga...
5 Reactions
59 Replies
11K Views
Since nimeona ni ngumu kupata the perfect man to stay with for serias relationship. Nimedecide kuwa na mwanaume mmoja hivi kutoana upweke na kukidhi tamaa zetu za kimwili. Ni mume wa...
2 Reactions
78 Replies
5K Views
Mwanamke ambaye ana tabia a kujilaumu yeye kama mwanamke na kulaani kuwa kwake mwanamke, yuko kwenye nafasi kubwa ya kumuuwa mtoto wake wa kike kisaikolojia. Kuna wanawake ambao kwa kuudhiwa na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
hello,wana jf boyfriend wangu anapenda nivae shanga ama chen kiunoni wakati wa mavituuuz,kwan zna kazi gani?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mambo wadau wenza. Kivyangu mie nimewagawa wanawake katika makundi matatu. Kama ifuatavyo ; 1. Wenye mvuto mkubwa au mkali. 2. Wenye mvuto wa kati. 3. Wasio na mvuto. Tatizo ama changamoto...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Karla Faye Tucker akiwa gerezani Mlo wake wa mwisho kabla ya kunyongwa Kati ya saa 8:30 na 10:30 za usiku ya Jumatatu Juni 13, 1983 Karla Faye Tucker, Danny Garrett na James Leibrant...
15 Reactions
73 Replies
9K Views
kuna watu huwa wanaikera sana sasa sijui nipo sahihi au lah eti unamwambia ninashida naomba nisaidie eti anakwambia poa halafu anapotea na anakuchunia etii sa minawashangaa sana coz hakuna...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Unapotafu mwenzi wakuoa, kijana wakiume anapoulizwa unataka mwanamke wanamna gani ili afae kuwa mke mwema? HUJIBU KUWA ANATAKA MWANAMKE ANAEJUA KULEA WATOTO VIZURI. Je hii humanisha...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Inawahusu wawili wanaoishi pamoja,SIO wale wanaokutana gesti kwa short time.Nauliza wenzangu wanamaandalizi gani kabla na baada ya kufanya mapenzi.maana mi naonaga uvivu kuoga oaga kila wakati...
0 Reactions
50 Replies
16K Views
moved 2 love connect
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahusiano kati ya wapendanao hujengwa zaidi na hisia za moyo (Feelings), zikipotea hakuna mapenzi yanabaki mazoea!! kati ya mambo ambayo yanavuruga mapenzi kati ya wanaume na wanawake ni majibu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu wadau!ebana kuna mmanzi mmoja aliwahi kuwa galfrd wangu wa enzi hizo,bt ilitokea tukatofautiana then kila mtu akaenda njia yake ila ye bado alikua ni kama ananilalamikia mie kuwa ndo...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Naomba kufahamu dada zetu huko kitchen party huwa mnafundishwa nini? Maana nilisikia huwa mnafundishwa maadili. Namna ya kumtunza mumeo na watoto wako. Mapishi ya vyakula vizuri kwa mumeo na...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Jamani mimi nimekuwa nikijiuliza hili swali: Hivi mtu anapoleta shida yake hapa jamvini...hasa inapomhusu partner wake, ni kwamba huyo partner wake yeye huwa hatembelei maeneo haya ya JF...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mara nyingi kwenye mahusiano, hasa kwa wadada, unakuta analalamika au anatoa maneno unikome, sikutaki tena, kumbe unanichezea bure. Hili suala la mmoja kumchezea mwenzake inakuwaje? Je ni...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Back
Top Bottom