Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilimfahamu toka akiwa kidato cha II tukawa tunaongea anapokuwa likizo na nikawa namhimiza kusoma kwa bidii , binti huyo anamwonekano nilihisi hawezi kumaliza FIV kwa kuwa lazima wakware wengi...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno...
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Naombeni jibu tafadhali. Unakuta ndugu/rafiki anaumwa hakuna mtu anaeonekana kusaidia ILA subiri kama mgonjwa akifariki yani hapo watu wanataka kuonyesha uwezo wao.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
the majority huamin kuwa mpnz apatikanae kwa njia ya mtandao ni msanii oriented, sasa ndugu zangu, wa ukwel hasa yupo namna gan?
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Hili linanitatiza. Kila mwanamke umkutae awe mkubwa au ndio kwanza anaanza kujua maana ya mapenzi wooote muono wao juu ya uke wenza ni BIG NO!!! Yaani wanasema ni aheri kuwa single kuliko kuwa mke...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Naombeni Ushauri Wenu Kuna ka sister kamoja nimekuwa nikikafukuzia muda kiasi. Tatizo linakuja kila nikikatokea kanasema hapana ila Body language yake inasema tofauti. Ni kawaida kwa mwanamke...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni beti ya wimbo wa pwani! Bure usijisumbuwe cheo chetu kimoja Ya nini matusi, ugomvi na mabishano Kama wewe ni mkewe na mimi keshaniowa Yanini hasama choyo na kununiana Kama wewe wa nyumba kubwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nataka kuongeza Mke wa Pili!
3 Reactions
164 Replies
12K Views
Nina mpenzi wangu ambaye anapenda kununa sana hata kwa jambo dogo tu ananuna siku nzima,yaani haongei,hachek hata ufanyaje! Naomba mnishauri nimfanyaje kwani kuna muda nafikiria kumwacha!
0 Reactions
31 Replies
11K Views
Kuna uzi uliokuwa unasema sisi ndo wanaume bana! Mimi naomba niendeleze kwa kutoa yale nnayodhani hayafai kwa mwanaume kufanya. . . 1. Haipendezi kubana matumizi kwa familia lakini kutumia kwa...
4 Reactions
217 Replies
15K Views
Mratibu wa Jamii wa Afya ya Uzazi na Jinsia wa mradi unaotekelezwa kati ya UMATI na Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa mkoani Kilimanjaro (KNCU), Lilian Sizya amesema kuwa baadhi ya...
4 Reactions
66 Replies
6K Views
Natafakari sana najiuliza watanzani tumelithishwa woga hata katika haki zetu za msingi tumebaki kuwa mabubu na wanyonge tnao lilia ndani kila mmoja ukimtizama ni kama anasubiri mwenzake a aanze...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jumamosi tulikuwa kwenye harusi ya ndugu yetu hapa Machame,ndugu yangu anaoa mwanamke kutoka DAR YAANI MZARAMO,mila zetu ni kwamba baba mzazi wa bwana harusi anachukua ""upata lwa wari"" maarufu...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Ni barua ya dada mmoja akimuandikia x-mpenzi wake, Endelea................................. Najua hautamani kusikia lolote kutoka kwangu kwa kuwa sina thamani tena kwako, thamani...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nilifiwa na mke wangu,aliniachia mtoto mmoja wakike(6 yrs).Alifariki wakati wa kujifungua mtoto wetu wa pili. katika mizunguko yangu nimekutana na mwanamke ambaye alizaliswa(mtoto wakike...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
watu wengi huita girlfriends au boyfriends zao wachumba?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
futa mchumba (binti)..awe muislam...mwembamba na mrefu. Awe na maadili ya kiislam, akiwa na elimu kidogo ni vyema zaidi. Mimi nina masters na nafanya kazi wa tahasisi ya serikali Kama interested...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
mambo wadau! mimi nina hili swali huwa linanitatiza, kuna baadhi ya wanaume wakiona maX wao wamemove on ( kapendeza, she is happy, anadate na mtu mwingine ) huwa wanaumia yan wivu si wivu anaweza...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Kuna mwanaume anamke wake mzuri sana .mwanaume huyu yeye haishi kusifia wanawake kwenye internet na kuomba namba za simu. Na kuwaita Majina dear. sasa mkewe inamuuna coz mume wake huwa hamsifii...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom