The love of my life | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The love of my life

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PetCash, Mar 21, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Habari zenu wana jamii?
  Mimi ni kijana mtanzania mzalendo-nina kazi ambayo namshukuru Mungu inanifaa. Ninataraji kufunga ndoa mwakani. Nampenda mchumba wangu, ila tatizo nililonalo ni hili : mwaka jana january nilikuwa namuona msichana fulani kila siku asubuhi wakati naenda kazini. yeye pia anakuwa anaenda kazini, kwa hiyo tunaongozana hadi kituoni tunapanda gari moja-tunaachana njiani. Huyu mshichana ni mzuri sana kwa kumuangalia na ana adabu ambayo nimeiona kwa watu wachache sana. Hana makuu na humsalimu mtu vizuri kama inavyohitajika. Nikaona si mbaya tukawa friends. Basi toka february mwaka jana tukawa friends. Tukaanza mawasiliano madogomadogo, mara simu kwa sana, mara lunch dinner,movies kutembebeana home. Nikamtambulisha kwa mchumba wangu(Ila my fiancee hampendi kabisa!).
  Tatizo linaanza: kwa hiki kipindi tulichohang out together tumejikuta ni marafiki close sana(mimi niko very timid na huwa siko comfortable arround girls hata mchumba wangu, lakini ajabu huyu rafiki yangu ndo msichana wa kwanza in my life kuwa that karibu na simuonei aibu na we discuss ideas deeply).
  Kumuelezea tu ni mzuri sanaa, ana tabia nzuri sana yani perfect wife material, ni msomi na ameniambia wazi ananipenda.
  Kiukweli nampenda sana kuliko mchumba wangu, ila sasa natakiwa kumtambulisa mchumba wangu kwetu wiki ijayo na home wanajua ntamleta siku iyo.
  GUYS I HAVE MET THE LOVE OF MY LIFE AND UNFORTUNATELY I AM ALREADY COMMITED, sijamsaliti mchumba wangu ila nahitaji ushauri ili ni make this big decision of my life...

   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Muoe unayempenda.
   
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mzee, kila siku utakutana na wasichana wazuri zaidi, wanaoonekana kuwa na tabia nzuri zaidi (ingawa huwezi kuwa na uhakika kama hawa-fake ili kukunasa) na wenye kila aina ya sifa za ziada kuliko hata huyo mchumba wako... but at one point you have to make a decision; nakushauri uheshimu committment yako na uendelee na mipango na mchumba wako na usiwe deflected na huyo rafiki mpya ambaye probably hujamjua kiundani
   
 4. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Follow your heart ma friend! Na majuto ni mjukuu! I enjoy watching Devil's double!
   
 5. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ving'aavyo vyote sio dhahabu.
  Usione ukadhani.
  Ukitamani unakuwa kama kipofu vile.
  Mke, ndio njia ya maisha yako.

  Kuwa makini kaka kipya hakinyemi. Muombe Mungu lakini kama uliweza kuelewana vizuri na mchumba wako na mkafanya mambo yenu vizuri mkapanda milima na mabonde mpaka leo hii achana na tamaa na usiruhusu wazo kama hilo kukuweka matatani. Huyo unaemtamani umeshare naye maraha na kujirusha hujapanda nae milima na mabonde achana nae.

  Ila kama ulikuwa unajilazimisha kwa mchumba wako yaani ulikuwa humpendi ulikuwa unapumzika tu hukuwa na jinsi kuna kitu kinakusukuma inabidi ukae ufanye uamuzi mgumu.

  Mzee wangu aliniuliza swali: Unataka kuoa kwakuwa kuna shinikizo au unataka kuoa kwa kuwa umempenda? Je, unamfahamu vizuri? Familia yake unaifahamu vizuri?. Mwisho akasema usitetereke na uzuri wake wa nje. akanipa wiki 2 nifikirie. Kazi kwako
   
 6. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  All I can say is.....huna msimamo! Je, do you remember ni nini kilikufanya ukafall in love na mchumba wako??
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Simple like to push a drunker!Au sio!
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo ndo pakuchunga na usitegemee angempenda kwani wote malengo yao ni mamoja sasa wewe nakushahuri kaa na yule wakwanza mliye kuwa na plan naye huyu wasasa asikuzingue na script za mda!!atakuchenjia wakati umeingi na maguu mawili usipate hata wakati wakurudi nyuma!Mimi namfano halisi!
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Petcash.... Kusema kweli mtihani ulio nao ni mkubwa mno... Kwa huyo mchumba wako inauma sana unapokuta kua Mpenzi wako ambae karibu mnataka kutambulishana kwa wazazi hakupendi na apenda mwanamke mwingine... Ila inauma zaidi ukute kua huyo mchumba wako anajilazimisha kuoana na wewe hadi mmefunga ndoa ndio unagundua kua he is forever inlove with another woman. I am a woman... Hivo I understand na I know...

  Usione watu wapo kwenye ndoa zao wametulia.. kuna watu ambao hutamani warudi nyuma na warekebishe makosa walo fanya... makosa mengine uhusisha wrong choice of choosing a spouse. Kama kweli una hakika na feelings zako dhidi ya hao wanawake.... Kwamba mchumba to be humpendi na wampenda rafiki yako then ni bora uwe wazi na umweleze mchumba to be hata kama uliji commit. Lakini hata hivo jiulize haya maswali ambayo wewe pekee ndio una majibu kabla ya kuchukua maamuzi.  • Huyo mchumba to be ulichaguliwa ama ulichagua na kumtongoza mwenyewe? Kama jibu ni NDIO... The it is not that simple kuvunja commitment yako.
  • Huyo mchumba to be umekwisha wahi lala nae? Kama jibu ni NDIO... Then ukute kinachokusukuma kwa yule ni more of tamaa sababu hujampata bado na hivo kumuacha itakua ni selfish move.
  • Umekaa nae kwa mda gani katika mahusiano? Ulimuahidi kua utamuoa na asi commit kwingine... sababu hapa aidha uwe gentle man to honor your word or uwe selfish.
  • Umri wako na wa mchumba to be ni mingapi.... If she is less than 24 atakua less stressed kuliko if she is more than 28.

  Hata hivo pamoja na kusema umesema hayo kwenye post kuna mengi ya kuzingatia kabla ya kuchukua maamuzi... Itabidi utumie busara ya hali ya juu sana.

  Best of Luck.
   
 10. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,290
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Usimtambulishe huyo mchumba wako kwa sasa, buy more time even months so that you can have more thinking to make the right decision that you won't regret in future...
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hii nayo ni calculative move Mathematics... nice one...
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  life is simple eiyer, sisi binadamu tunayacomplicate kwa kupingana na ukweli.
  Siku zote hatutaki kuukubali ukweli. Hasa ukweli wa hisia.
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Jamani niece mimi naona kama yahusuyo hisia ndio hufanya life iwe complicated hasa mahusiano.... kama hivo huwezi jua ukute huyo mchumbake to be anampenda mno huyo kaka, but bahati mbaya ndio hivo tena roho yake ipo kwa huyo dada mwingine... (bahati mbaya ukute ni tamaa tu); hivi kweli hapo ni simple?
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hivi aunt kuna anayeshindwa kutofautisha anapopapenda na anapopatamani? Ukweli huwa tunajua kuwa sehemu flani kweli tumependa ila hatukubaliani na ukweli, hata huyu mkaka akimwambia mchumba 2b kuwa amependa mtu mwingine hatokubali wala kuelewa.
  Tatizo kwenye mahusiano tunaangalia sana mazingira ya nje kuliko kujiangalia sisi binafsi na ndio maana mambo huonekana magumu.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Kwa mtazamo wako niece ukisoma post ya mwanzo.... kaka kapenda ama katamani huyo dada mpya?
   
 16. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  How can your current partner be mchumba wako kama hata hujamtambulisha? au ni uchumba ule wa kuvikana pete tu?
  Since you are not sure about your feelings for her anymore, just cancel the introduction to your family. That will remove part of the pressure just then. Then take your time to evaluate the situation again.
  Just because you have cancelled the introduction does not mean you have to break up. and if you do break up, this does not mean that you have to replace her immediately. and even if you decide to break up with A, and start a relationship with B, this does not mean that you have to marry B. Sio lazima uanze nae pale utakapo ishia na mchumba wako wa sasa. it is a new relation that will come with its challenges as soon as you stop considering her as a replacement.
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mimi na wewe aunt hatuwezi kuelezea kama kapenda au katamani. Yeye muhusika ndio anajua. Labda kama atatuambia mazingira aliyokutana na huyo dada wa kwanza na mpaka wanaanza ilikuwa vipi. Kuna watu wanakuwa na wapenzi kutokana sababu tofauti na kupenda. Ikitokea amepata aliyempenda kwa dhati huonekana amemtamani. Kwani haiwezekani huyo mchumba ake wa sasa ndio alimtamani ila huyo mpya ndio kampenda kiukweli?
   
 18. sunshine1

  sunshine1 JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 523
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Duuh!:thinking:

   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Maelezo yako haya hasa nilo bold ndio ninavo amini niece... ndio maana nikasema kua hapo how is it simple... Ok kapata dada mpya na anampenda lakini anashindwa kuchukua maamuzi tokana na committment alizofanya kwa mchumba 2b sababu kama wanadamu twaelewa how inauma kuambiwa na mpenzi wako "sorry wewe sikupendi tena nina mwingine nampenda"

  Katika mamboa ya mapenzi it is not simple... sasa huyo ana bahati bado hajaoa... Imagine kuna walo oa na hayo yanamkuta kama haya...
   
 20. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  for da meantime huu ni ushauri bora sana na wakufuatwa kwa sasa...
   
Loading...