Mwenzenu yamenikuta,house girl ame test urine 4 pregnancy nimetoka kazini ananiuliza ikiwa hivi majibu ni nini.Kuangalia majibu yenyewe positive kuonyesha kuwa ana mimba.
Kumbana amtaje...
ndugu zangu nataraji kupata jiko au mke wa kuoa sijui wenzangu ambao mpo katika ndoa naomba ushauri wa mambo gani nizingatie kwa huyo mke ili niweze mfaidi sio kujitui tena hyo ndoa.?
Hii imetokea mjini Babati jana,ambopo dada alishawishiwa na kaka yake kwa sh-50000,ambaye ameoa na mkewe alikuwa kasafiri!Ghafla mke alirudi ghafla bila yawao kutarajia nakuwakuta kama...
JF ni social media na kazi yake ni kupashana habari, kurekebishana na kujengana pia. Mimi kuna tabia huwa siipendi na kama kuna mwana JF anayo namsihi aache MARA MOJA. Na hii tabia iko zaidi kwa...
Hope your weekend is great!
Moja ya mambo ambayo nimegundua yana mvuto wa kipekee katika mahusiano ni mwonekano wa kipekee
(Distinctiveness). Kipindi flani nikiwa primary sikuwa naishi na mama...
asalam aleikuuum
mi ni kijana wa miaka 30...nina watoto wawili na wanawake tofauti...hivi nikiamua kulea watoto tu bila kuoa mwanamke mwingine jamii itanichukuliaje?
Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. It is not rude, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs. Love does not...
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
Wakati nina 20 yrs na nikiwa sijawahi ku-do. Nilikwenda mkoa na wazazi for a wedding party. duh! nilikutana na demu mmoja nikawa very attracted lakini sikuwa na nguvu za kujaribu hata kumsogelea...
Nikiwa nimeanza kubarehe nikiwa mkoa wa tabora na maisha ya shule...nakumbuka sikupata mtu wakunipoza moto niliokuwa nao wa ngono....nikawanateseka....maisha yangu yakawa ni Masturbation daily...
Duh...! Ama kweli nilipata tabu sana enzi zangu za kubalehe yani wanafanzi wenzangu wa O-level wengi wao nikiwa approach walikua wananikubali, sekeseke linakua kwenye uroda ambao ahadi zao zilikua...
Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM.
Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam na mwenye kujiheshimu na...
Mrefu kiasi,si mnene si mwembamba,si mweupe sana,mwenye mvuto wa asiri na si wa mkorogo
awe mkristu dhehebu lolote,anayejiheshimu na anayemtii Mungu
awe na certificate ama diploma akiwa na kazi...
Mjadala wa kwenye thread ya Bishanga wa wanawake kupata changamoto ya mpenzi/mume mpya wanapokuwa na watoto wa mahusiano ya zamani ulichukua kasi na siwezi kusema ulifikia muafaka ama la. . . ...
Wanawake wenzangu,
Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!!
Hebu tujiulize kwa nini...
Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kitu kinachosababisha watu kusalitiana kwenye mapenzi, nimefanikiwa kupata sababu sahihi za jambo hili achilia mbali ile sababu ya uovu wa kibinaadamu...
Nimesikia habari RFA kwenye matukio asubuhi binti amuua mwanae kwa kumnyonga kisa aweze kuolewa
Mwanaume kamwambia hawezi kumuoa akiwa na mtoto ambaye hakuzaa nae
dawa ni kukatisha maisha
Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.