nisaidieni jamani!!

Aquous

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
292
86
tangu nimeamka leo cjickii kabisa kuongea na mume wangu.hata kumuona sina hamu.hajanikosea chochote.hii ni nn jamani???
 
Muombe mungu akusaidie kwani hilo ni pepo lishindwe.

Kwa upande mwingine siku huwa zinatofautiana kwa hiyo hilo nijambo la mpito.
 
tangu nimeamka leo cjickii kabisa kuongea na mume wangu.hata kumuona sina hamu.hajanikosea chochote.hii ni nn jamani???

Kapime mimba, nasikia wengine wakibeba mimba huanza kuwachukia huzband wao! Vingenevyo, fanya kama walivyokushauri hapo juu au watafute wataalam wa saikolojia na akili za watu, wanaweza kukusaidia kukushauri.
 
Nenda kapime mkojo yawezekana una kamimba kachanga GALIMA hizi ndo dalili zake
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada ila utokea sana kwa wanawake, japo mara nyingi ni dalili za mimba.
 
Kwi kwi kwiii!
Mmejionea wenyewe hali ndani ya ndoa ndo hii halafu mnaning'ang'aniza
eti, umri umeenda nioe...sioi ng'oo!
 
Utaambiwa "Una jini mahaba"
Ngoja waje.

Kule kwetu wangesema una 'roho mbaya' kununa bila sababu ndo huwa dalili yake
 
Galima ulifungua thread saa tatu asubuhi,ni usiku sasa,vipi hali yako,unajisikiaje? Kuna mabadiliko?
 
Utaambiwa "Una jini mahaba"
Ngoja waje.

Kule kwetu wangesema una 'roho mbaya' kununa bila sababu ndo huwa dalili yake

lolz @kogosho mbona unaanza usukununu kama Bishanga?

labda tumuulize GALIMA ana muda gani katika ndoa yake? na je leo ndio mara ya kwanza kwa hali kama hii kumtokea? ajibu kwanza haya ndipo nimpe majibu muafaka
 
Last edited by a moderator:
Utaambiwa "Una jini mahaba"
Ngoja waje.

Kule kwetu wangesema una 'roho mbaya' kununa bila sababu ndo huwa dalili yake

Atakuwa amepatwa na jini mahaba huyo; mbona weshacomment hapo juu. Halafu nawe umesisitizia roho (spirit) mbaya (evil) si kitu kile kile? sasa waweza mchukia mumeo bila sababu na ikakubother kama sio kuna kitu kina control conscious yako. Kuomba na kukemea huyo spirit is the way to go!
 
Back
Top Bottom