Akimaliza yeye tu Kosa!

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,832
22,940
Jamaa yangu kanilalamikia anadai kuwa yeye huwa anapokuwa kwenye mechi huwa anachelewa sana kufika kileleni kitu kinachomfanya mke wake amalize kiu yake kabla ya yeye hajafika na akisha-climax tu hataki tena mechi,mpaka zipite siku mbili au tatu kiasi cha kwamba imefikia jamaa kuamua kujichua ili kukata kiu yake maana anogopa kwenda nje ya ndoa anaweza akaliokota gonjwa,hebu nipeni maujuzi hapa jamaa yangu atumie mikakati gani walau awe anatoa droo kama sio kuwahi kabla mkewe hajafika mwisho.
 
mwanamke mwenyewe anatakiwa awe na mautundu kumuandaa na kuwasogeza wazugu ila wasogee golini. Huyo mwanamke lazima awe mchaga maana hana mautundus
 
usiwe na wasi mwambie asipomaliza kwa mke basi asubiri kesho akamalize kwa second wife maana tayari yatakuwa karibu
 
mbona hii case easy ila ingekua vice versa ingekua noma! Punguza kazi ya kumuandaa huyo mke/demu pia wakati wa kamchezo we zamisha mashine yote ndani na sugulia humohumo ili uwahi kutema wazungu kabla yake
 
sio sahihi hata kidogo kakuhadthia na yake au? maana watu tu wepesi sana kujiona wakamilifu inawezekana game analotoa la kichovu inawezekana anafika kileleni/climax kwa picha za mchuzi pakavu...

Sasa Chauro ulitaka jamaa aendelee kuteseka wakati bestman wake bado nipo hai!
 
We Chauro hili swala ni yeye mwenyewe linamhusu kaamua kutumia nafsi ya mtu mwingine
 
Last edited by a moderator:
sio sahihi hata kidogo kakuhadthia na yake au? maana watu tu wepesi sana kujiona wakamilifu inawezekana game analotoa la kichovu inawezekana anafika kileleni/climax kwa picha za mchuzi pakavu...
Ok,let say wewe ndio huyu jamaa yangu na ndio una tatizo kama hilo and am your bestman what would you do?
 
Huyo mwanaume ni Asset kubwa sana wengi wetu ni wa dakika mbili tumeshamwaga sasa kama anacheza na hiyo asset ngoja apate wakina Liabilities mbona atammiss...Hii dunia sijui ipoje mwenye orijino analilia fake and vice versa
 
akae amalizane na mkewe hakuna jambo la chumbani liliamuliwa na third part likafanya kazi siku zote huwa ni jambo la watu wawili hatahangaika weee mwisho wa siku muafaka uko kati yao wawili maana hatujua wanapeana na kunyimana nini amemuuliza mwenzio anakosa nini au akiona kafika climax anajua kamaliza yote kalabaghaho!!!....

Ok,let say wewe ndio huyu jamaa yangu na ndio una tatizo kama hilo and am your bestman what would you do?
 
Loading........................................................................
 
mwanamke mwenyewe anatakiwa awe na mautundu kumuandaa na kuwasogeza wazugu ila wasogee golini. Huyo mwanamke lazima awe mchaga maana hana mautundus
buguruni ngoja wenyewe waje utaisoma namba, tatizo ni kwamba wachaga mliwafundisha sasa ndio wanawatoa knockout. chezeya mchaga weye. wavaa shanga na wakata viuno wazuri wakati wa game ni wanawake wa akichaga bado wanajua kubembeleza usipime.

ishu ni kwamba huyu mama haju wajibu wake kwa mumewe, na wala hayuko cooperative katika kutumika. Narudia kauli yangu niliyowahi kusema hapa kwamba ni vizuri wakati wa mchezo kila mtu akakubali mwili wake utumike kumpa raha mwingine. Sasa ukona mama mnyimi ina maana yeye hayuko tayari na nimchoyo wa kuutoa mwili wake utumike kumpa raha mumewe. stephot mwambie huyo mwanao wa kindoa, aseme na mkewe juu ya kukubali kuutumia mwili wake kumparaha mwenzie na amweleze kiuhalisia kuwa anatamani kuona anapata raha kutoka kwa yeye mkewe.

pia napata picha kuwa ni mwanamke mwenye gubu huyo.
 
Last edited by a moderator:
mbona hii case easy ila ingekua vice versa ingekua noma! Punguza kazi ya kumuandaa huyo mke/demu pia wakati wa kamchezo we zamisha mashine yote ndani na sugulia humohumo ili uwahi kutema wazungu kabla yake
watu mmedata humu ndani! nimecheka kwa sauti kha! asugulie humohumo ndani kwani steel wire hiyo ndani ya sufuria, kha! haya bwana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom