My wife ameniruhusu kuongeza mke wa2,ushauri pls! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My wife ameniruhusu kuongeza mke wa2,ushauri pls!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by CHAI CHUNGU, Jun 22, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wakuu poleni kwa majukumu ya kupambana na maisha.
  Baada ya utangulizi pls naombeni ushauri juu ya linalonisibu.
  Last year june nilikutana na binti1 mrembo sana machoni mwangu,nilipomfatilia kitabia sikumuona kama anakasoro,jan mwaka huu nilibahatika kupata namba yake ya simu na kufanya nae mawasiliano,but nilipomuomba tuonane alikataa katakata.
  Nilijaribu kumwambia asiwe na khofu lakini ikawa ngumu,bcoz mtoto nilisha mpenda nilianza kumfanyia surprise,hii ilinisaidia kiasi kumfahamu kitabia,mpaka sasa nimeweza kufahamiana na mamake mzazi na dadake,hii imerahisisha sana kazi maana binti amekubali tuonane mwezi wa8 but kwa masharti.
  1.Ni muahidi kama ntamuoa
  2.Aje na dadake kwenye kikao chetu.
  Kwangu mimi hapo ni hiyo point1(kumuoa)
  Sasa tayari tumeshakubaliana baadhi ya mambo ya msingi na amenipa uhakika wa 90% kwamba mm ndiye ntakua baba wa watoto wake.
  Sasa ili nisimshitukize my wife nikaamua kumwambia ki utu uzima kwamba nataka kuongeza jiko la2,cha ajabu wife alifurahi sana na kuniambia kwamba alikua akiisubili kauli hii kwa muda mrefu na pia nijaribu kuchagua shamba zuri na lenye rutuba ili nipate mazao mazuri,na cha ajabu zaidi anasema angependa anisaidie juu ya mchakato mzima wa kumpata second wife.Naanza kumuonea huruma my wife bcoz tangu nimpe taarifa hizi amechange sana,anaongea nami kwa upole zaidi na kwa heshima.
  Wadau naombeni msaada juu ya kumtendea uhadilifu mke wangu kipenzi maana jiko jipya linaweza nichanganya?
  Binafsi nimepanga ntakaa kwa bi mdogo for 3months tangu siku niliyomuoa then ndio ntaweka ratiba wazi,kama ni wiki wiki or???
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hapa mkuu jaribu kucheck na Mzee Yusuf wa Jahazi yeye alikuwa na wake 5 sasa ana 2
   
 3. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mi sijaelewa hapa unaomba ushauri gani?
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kwa nini unadhani uko wrong?
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Uhadilifu mkuu,ili first wife asinung'unike na hali kadhalika second wife asinung'unike.
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Aisee...ina maana alikuwa anakusubiria! na wewe umeonaje?
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hajawahi kunionyesha kama atapenda niongeze jiko.
   
 8. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asinung'unike kwa lipi? si mmekubaliana? na muendelee hivyo hivyo kukubaliana
   
 9. N

  NNC Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana! Mkeo ametizama hali ya maisha na magonjwa kwa ujumla. Jaribu kumpenda mke achana na huyo kimada wewe radha ni ileile.
   
 10. N

  Nzagamba Yapi Senior Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ukoloni umeharibu utamaduni wetu waafrika wa kuoa wake zaidi ya mmoja,nani babu yake ambaye hakuwahi kuoa wake wawili?udhungu ndo unatufanya wanaume tusiishi maisha marefu kwa kuendekeza ndoa ya mke mmoja,matokeo yake mke anakuperekesha kama mpira,wakati ukioa wawili,lazima kila mmoja awe na adabu kulinda ndoa yake,oa ndugu yangu,nakupa uhakika utaishi vizuri mno

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,246
  Trophy Points: 280
  Hahaha! This time around wanaume mtanyooka tu!

  Sasa mkeo kakuruhusu kwa roho safi uoe, unaogopa! Hamia huko miezi 3 mfululizo, yeye mpe unga na mchele tena mtilie kifuuni. Baada ya miezi mitatu ya 'fungate season 2' urudi hapa kuomba ushauri,lmao!
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kimey mpe ushauri jinsi ya kuhandle wake 2 yaani kulala kwa zamu, matumizi n.k
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,246
  Trophy Points: 280
  Hehehe! Hivi wewe unaweza kujifananisha na babu yako kwa lolote? Kiuchumi? Kiafya? Hata lifestyle? Iga tembo kunya uone msamba utakufanzaje!
   
 14. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ahsante sana mkuu,yani ktk jf members waliouchangia uzi huu mpaka sasa wewe ndiye mwenye akili zaidi,yes binafsi napenda kudeka so nikiwa na wawili ntaenjoy sana,thanks a lot mkuu kwa ushauri.
  When it is the right time ntakutafuta uje ushuhudie jinsi nntakovyoongeza jiko la2.
  Mwenyezi mungu akupe maisha marefu.
   
 15. c

  chilubi JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,028
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Wangu ningekupa like kama ningekuwa na Pc. Ni kweli ulouasema. Ndo maana watu wanaishia kupelekeshwa na wengine kutembea na vimada nje na kurudi na maradhi
   
 16. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ahsante king'asti hili nalo neno,siyo mchele tuu,mpaka my atm card ntamuachia lol!
   
 17. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tabu kweli kweli.
   
 18. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Yes that's what I need mkuu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu spika jaribu kuiga mfano wa Mzee Yusuf utaimudu tu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,246
  Trophy Points: 280
  Hapo tu mna mke mmoja na wanatembea nje ya ndoa hadi mnadata. Mkiongezea mtandao utakuwa wa optic fibre,lol! Ama kweli akili ni nywele!
   
Loading...