Chokochoko za wanawake zimenifanya nisiwe na mpenzi wa kudumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chokochoko za wanawake zimenifanya nisiwe na mpenzi wa kudumu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by figganigga, Jun 23, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Mimi napenda sana warembo huo ndo ukweli, hata nikienda club nikawakuta wachache naona hapalipi.

  1. Tatizo ni pale mpo mchezoni anaanza kuuliza "baby unanipenda, hutoniacha.. aah! tamu".
  2. Unakuta upo na marafiki zako mnacheza pooltable mara simu unasikia "upo wapi na nani? Nipe niongee nae, umeshakula? Mbona simu ilikua haiiti?"
  3. Akiona jina la kike kwenye simu anaanza matatizo na haelewi
  4. Anataka kila saa mshikane mikono mara mabusu hata kama ni sokoni na ukikataa eti humpendi. Niaje bana?.

  Mia
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Magonjwa ni mengi waweza kupotea mapema.
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa, ndo maana nimeamua kukaa single. hayo magonjwa labda niyanywe kwenye maji. mia
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sisi binadamu bana..usipopendwa unalalamika kua huna bahati ya kupendwa haya ukipata wa kukupenda na kukujali bado mtu analalamika aah huyu ananipenda sana ananiboa mara hivi mara vile...jamaaniii
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hayo ndio maamuzi ya busara figganigga . mia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. L

  Ladinirah Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sa km haupendi c umwambie kuw hautak akupgie cm, hautak akuule wap upo na cha zaid hautak awe na wivu na wewe. Me naamin atakuelewa
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hiyo ni hali ya kawaida. huyu anapata yule anakosa. sio kwenye mapenzi tu. mia
   
 8. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  yaani sweet hamna raha kama ya kuwa single. mia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Heheheheh kama unaweza na unafurahia wala usijali......raha jipe mwenyewe figganigga!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  nikashaona usumbufu huwa siongei nae. naachana naye kimyakimya. simu wal msg sijibu. kwa muelewa anakuwa kaelewa huyu baba hasomeki kaingia mitini. mia
   
 11. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  endelea kuonyesha ukidume.... ila angalia afya yako pia
   
 12. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wanakuzuzua tuu hawakupendi wala nini,kama unavyowauzia mbuzi kwenye gunia na wao hivyo hivyo sema wao hawako makini sana kama wewe..
   
Loading...