Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu M/mungu ashukuriwe,leo nimepata mtoto wa kiume,but bado wife bado hajaruhusiwa kutoka hospital AMANA. Thanks god.
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Kwa kawaida wasichana hupata mafunzo ya unyago ndani ya nyumba siyo porini. unyago wa wasichana ni mgumu kuuelezea tofauti na ule wa wavulana maana mambo mengi hufanyika na wanawake kwa siri...
14 Reactions
106 Replies
64K Views
Ushoga sio jambo zuri katika jamii. Lakini je wawezaje kuwalinda ndugu kama kaka na wadogo zako wa kiume wasiingize huko. Na dalili za shoga ni zipi ili ukiona uanze kuwalindana kuwakataza mchezo...
0 Reactions
24 Replies
15K Views
Simon Matheri Ikere Mwili wake baada ya kuuawa Felister Wanjiru mkewe Matheri Siku ya Jumanne ya Februari 20, 2007 ni siku ambayo haitasahauliwa na Wakenya wengi, na hasa Polisi wa nchi...
13 Reactions
60 Replies
18K Views
1.Kila siku kuingia nyumbani ni kuanzia saa saba usiku kama si asubuhi 2. Unakaa umenuna nuna bila sababu za msingi 3. Unalalamika mwenzangu haniridhishi unajuaje kama wewe unamridhisha ...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Kumekuwa na mijadala mingi ya kuwa ni sehemu gani hasa ambayo unaweza kukutana na mtu ambaye huenda akaja kuwa mke/mume. Katika mjadala huo kumekuwa na misemo mingi baadhi yake ikiwa...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Hi,kwa kutambua umuhumu wa mwanamke kama mfariji,mlezi,mshauri na mama,natafuta msichana mwenye umri kati ya miaka 20-26, Awe mkristo,mweye umbile la kati ili awe mke wangu,mimi ni mvulana mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
nimetimiza miaka 30 sasa, huko nyuma nilitamani sana kuolewa nanilikuwa namlilia mungu sana anijalie nipate mume bora hiyo ndio ilikua dua yangu kubwa kwa mungu, imekua bahati mbaya sijaolewa...
0 Reactions
174 Replies
16K Views
Mamboz!kuna ctuation hapa:watu wawil wanaopendana bt the boy z 24 n the gal z 24 pia...their both graduates n wanafanya kazi:kinachomcmbua mwanamke ni je kutakua na ndoa kweli hapo? n kama ikiwepo...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Una mke wako wa ndoa ya Serikali/Kanisani/Kimila na huenda Mungu amewajalia mukapata mtoto/watoto. Lakini katika ndoa yenu mkeo anataka arudiane na mpenzi wake wa zamani. Unamwambia nikupe Talaka...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nna Girlfriend wangu,yuko busy sana..naona kama naanza shindwa kuwa nae.msaada wandugu.Yeye ratiba zake zinabadilika at anytime.Mnaweza mkawa nae mnapata vinywaji.hapo hapo anapigiwa simu anaitwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanza samahani kwa kutumia jina la kabila kwenye kichwa cha habari, nimeweka ili kupata maoni barabara sababu mitazamo ya kutorosha binti ili kumuoa inaweza kuwa inatofautiana kati ya kabila na...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf, Nimeoa na nina miaka 4 ya ndoa yangu, kadri siku zinavyokwenda napunguziwa dozi ya mapenzi, zilizopita ilikuwa 5 mpaka 6 per month sasa hivi ni 1per month na anakuwa mkali...
4 Reactions
84 Replies
7K Views
wana jf leo yamenikuta mwenzenu. Jamani leo nimejikuta naharibiwa siku yangu na katibu tawala wilaya ya ...................... baada ya kurusha ndoana yake kwangu leo ofisi kwake. Loh...
1 Reactions
108 Replies
8K Views
Ni miezi mitatu sasa naenjoy maraha tele ya binti wa kitanzania aliye masomoni Netherland. usiku tunajinafas vya kutosha kwa kuoneshana kila kitu. Kwangu hoja ya distance relationship doesnt work...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Mwanamke mmoja raia wa Marekani amewashangaza wengi baada ya kuandaa harusi na kujioa mwenyewe kwa kula kiapo mbele ya kadamnasi.Mwanamke huyo kwa jina Nadine Schweigert mwenye umri wa miaka 36...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
1. He makes me notice him because he looks good. 2. He makes my head turn because he smells good. 3. And now he has my attention I can watch his nails, hair and beard and he makes me smile...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
wakuu mi nataka kujua kabla sijachukua maamuzi magumu pia sitaki nionekana kitofauti na jamii inayonizunguka, nataka jua kama huwa na lazima uwe na best man/woman kwenye harusi hasa ukumbini....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo ningependa kuwaambia wanawake ambao wanafanya kazi, ambao wameajiriwa katika kazi zinazowaondoa nyumbani asubuhi hadi usiku, huku waume zao nao wakiwa makazini kwa muda kama huo au zaidi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Endapo utakutwa na hali hizi: Umeingia katika ofisi au nyumba ya mtu na muda tu mwenyeji wako anapuliza air freshener? Unaongea na mtu nayeye anaziba mdomo na pua yake kwa mkono au na leso...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom