Kwa wadada hasa walio single

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,254
12,872
Habarini za asubuhi wana jamvi... hope mko pouwa... leo nimekutana na hii nikaona nisiwe mchoyo nije kushare na wenzangu hapa......

Kuna kitu kinaitwa mvuto. Yaani hata kama mtu unampenda sana usitake
kumuonyesha kuwa unampenda saana na huwezi ishi bila yeye. Mjali, ongea naye vizuri, msikilize, lakini linapokuja suala hukubaliani nae, mwambie wazi wazi tena straight. Mwonyeshe kuwa uko focused zaidi na maisha, sio na yeye. Usipende kubip bip au kupiga kila saa. Sometimes akikupigia mpotezee, then unakuja kupiga masaa kadhaa baadae, unamwambia kuwa ulikuwa bize na shughuli fulani ya maana, so hukuona call yake. Au unaweza kupokea then, ukamwambia kuwa, sory, kuna kitu cha muhimu nafanya hapa, nitakupigia baadae, I love you, bye.. Ukifanya hivi utajenga mvuto fulani na kila saa atakuwa anakuona mtu wa maana na focused na maisha, na atatamani kuwa na wewe. Atakuona kama mtu ambaye uko siriaz na unaweza kutunza familia ikitokea,
Lakini kama unampenda mtu alafu kila saa unataka kuongea naye, kila saa kuwa naye, kila saa unaongelea I miss you, I love you.. atakuchoka na kukuona huna maana. Automatically atakuona cheap na low grade na atakuacha. Hapa sijamaanisha kuwa mvuto, ndo basi umchunie siku mbili au tatu hujampigia, la, ila ikibidi umpigie, au unataka kusikia sauti yake, piga alafu jifanye unaulizia jambo la muhimu. Kwa mfano piga msalimie, mwambie nimekumiss alaf mwambie nilitaka unishauri labda mtu aliyemaliza form four hajapata shule, kipi cha maana kati ya secretarial na hotel management course. Akikuuliza vipi, mwambie kuna mdogo wangu nilitaka nimtafutie chuo hapa.
Jambo jingine ni kuwa usitake kwenda kwake bila sababu. Kwa mfano mwambie kuwa kama uko home, nitakuja mara moja kukuletea zawadi yako then nitaondoka maana nataka kwenda so and so, ukitaja hata sehemu za ukweli. Hii itamfanya akuone kuwa unamjali, alafu pia uko bize. Lakini kama unataka kumuonyesha kuwa uko bize, usijisahau ukamwonyesha uko bize na mambo yanayowashirikisha sana wanaume, bali mambo ya kijamii na kielimu. Kama wewe ni mfanya kazi mwonyeshe kuwa kazini kwako uko bize na unathaminiwa. Mwonyeshe kuwa mara nyingi una homework. Katika hali kama hiyo mwache yeye ndiyo apropose kwenda out, na usikatae, bali mwambie kuwa japo nina vijishughuli vya muhimu hapa, then nitakwenda kwa sababu nakujali wewe.

Usitake kumuonyesha kuwa unapenda starehe, bali usijionyeshe kuwa anti-social. Hata kama unapenda kujirusha, lakini siku zote onyesha kuwa unajirusha tu kwa sababu yake, na ukiwa mwenyewe au na watu wengine hauenjoy. Siku zote omba msaada wa mawazo kwake, na epuka kuomba msaada wa pesa mara kwa mara a.k.a mizinga ya vocha . Hakikisha kuwa akikupa elfu 10, basi 2 zinarudi kwake kwa njia ya zawadi au kulipia bill. Sometimes jifanye kuwa una shida kubwa ya hela kiasi fulani, na akikupa, nenda kamnunulie zawadi, tena ikiwezekana ongeza na ya kwako, alafu unamwambia kuwa nilikuomba ile hela kwa sababu niliona hiki kitu fulani nikatamani uwe nacho lakini sikuwa na hela ya kutosha. Hii itamfanya aone kuwa unamjali.

All in all, kumpenda mtu kusimfanye akuone mzigo au kero, bali kuwa na mvuto fulani wa kutaka kukuona kila saa.

Wadada mpoooooooo!!!!!!!!! ASUBUHI NJEMA


 
Hili li siredi limekaakaa kikekike zaidi,Ngoja niulize kwanza!Je vidume kama sisi,hasa tulio mabikra tunaruhusiwa kuchangia?
 
hizi rigid maelekezo ya kufuata ktk mahusiano ya mapenzi ndio mana yanakuwa magum cku ziendavo.

ni sawa na kuambiwa ukiwa una do na mpenzi wako lazima mtumie midomo yenu kwenye vifanyio,

kumbe wewe hupendi wala mwenzio hapendi na wote mnafanya sabb mlisoma samwea kuwa

ndio the in thing. haya mambo ya mahusiano ya mapenzi hayana formula.

mahusiano yenye formula ni ya Sex tu, sbb ni emotion in motion.
 
OOOPs i am not a single lady...mnapeana mbinu eee..tushazisoma na tutaambiana...
 
charminglady mm nakaa kimya ili uweze kuwaelezea zaid, but nafikir Erotica anahitaj kufunzwa kitu hapo kama vile hajelewa kitu. nakutakia darasa jema mpendwa wangu.
 
Last edited by a moderator:
charminglady mm nakaa kimya ili uweze kuwaelezea zaid, but nafikir Erotica anahitaj kufunzwa kitu hapo kama vile hajelewa kitu. nakutakia darasa jema mpendwa wangu.
gfsonwin nifundishe mamito, wewe ukinifundishaga naelewaga,

kama kuna la kulipata hapo then Ero in this case ana dhaifu la kutomuelewa Charminglady.
 
Last edited by a moderator:
hizi rigid maelekezo ya kufuata ktk mahusiano ya mapenzi ndio mana yanakuwa magum cku ziendavo.

ni sawa na kuambiwa ukiwa una do na mpenzi wako lazima mtumie midomo yenu kwenye vifanyio,

kumbe wewe hupendi wala mwenzio hapendi na wote mnafanya sabb mlisoma samwea kuwa

ndio the in thing. haya mambo ya mahusiano ya mapenzi hayana formula.

mahusiano yenye formula ni ya Sex tu, sbb ni emotion in motion.

Guess who is this? Na vifanyio ndo nini tena?
 
wala sijawa complicated mbona ...


nasema upande wa mahusiano ndio ujibu its compliated.

sijasema wewe upo complicated mamito. mwanaume wa kukudhibiti ww

labda awe na sifa za wapenzi wangu wote ndio atakuweza. teh teh
 
Back
Top Bottom