Nimeona Jiko kwa Wanyamwezi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeona Jiko kwa Wanyamwezi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kakuruvi, May 10, 2011.

 1. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wadau kwa heshima na taadhima nawapa salamu!

  Katika pitapita zangu nimeona Jiko linalonifaa kwa Wanyamwezi, tafadhali anayefahamu taratibu za kupata Jiko kwa Wanyamwezi anipe ujuzi ili nijitokeze kwao.

  Natanguliza shukrani zangu za dhati!!!
   
 2. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  We msome mwenyewe hakuna maelezo kamili ya kabila la mtu
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  muulize mwenyewe, au unataka kumsuprise mkuu!!!
   
 5. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  kila la heri, naona utakuwa shemeji yake Rostam!!
   
 6. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Du kweli bana huyu jamaa si wa kulee ila rangi ya Yemen? lakini poa tu, ukipenda boga...
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mnyamwezi yupi hasa?
  1.mnyamwezi wa kuishi mamtoni
  2.mnyamwezi kama kabila tz  vyovyote vile uamuzi unao wewe
   
 8. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Gaga, kuna makabila ukienda ndivyo sivyo hupati Jiko.
   
 9. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Lady N, SUPRISE bibie!
   
 10. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ofcorce kichwa kichwa noma, Mnyamwezi Tz.
   
 11. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  WanaJf hakuna aliyepata jiko huko Tabora jamani? bado sijasaidiwa, please naendelea kutoa wito!
   
 12. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Taratibu muulize muhusika.

  Ushauri acha ukabila
   
 13. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mlimazunzu sijakupata, kwani kuna msichana asiye na kabila, ili ujue taratibu si lazima uulize taratibu za kabila lao? aidha kwa kabila hilo au wenye uhusiano na kabila hilo. sina ukabila Mwana ni kutaka kujua tu!
   
 14. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #14
  May 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wanyamwezi wanajua mapenzi sana nasikia, halafu wakarimu, halafu wanapenda mti na matunda yake
   
 15. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #15
  May 14, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Tuma mshenga apeleke barua ya posa,wao watakujibu na kama itakuwa imekubaliwa utapewa mchanganuo wa vitu vinavyohitajika. Unaweza ukapeleka vitu ulivyoagizwa au pesa yenye thamani ya hivyo vitu. Wengi wao ni wakarimu sana.
   
 16. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #16
  May 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda hii asante Gaga!
   
 17. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #17
  May 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ennie, hili nalifanyia kazi leo leo!
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  May 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Tena usisbirisubiri utakuta mwana si wako, kuna watu wanaingiaga na gia kubwa wakati wengine wanajishaurishauri
   
 19. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #19
  May 14, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uwiiiii!
   
 20. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #20
  May 14, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Halafu wanapenda mboga za majani, wanakuchanganyia na niaje kidogo kwenye mboga, unakua hubanduki home ha haaa ukitoka job hom au unaacha kabisa.
   
Loading...