Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jana mumeo karudi toka kazini kalewa tilalila! Kwa upendo ukamhudumia hadi ukahakikisha amelala vizuri. Then ukasikia sim yake inaita, kwa vile hawezi kuongea ukataka kuipokea ila ikakata. Hujakaa...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Original poster - Mtambuzi | May 14, 2012 BADILI: Unapojikuta kwenye hali usiyoipenda, unaweza kufanya jitihada za kuibadili au kubadili mtazamo wako kuhusu hali hiyo. Ikiwa uko katika uhusiano...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Umri 18-25, kwa yeyote yule ambaye yuko tayari tuwasiliane throungh e-mail ndaukab@gmail.com for more information. Only 4 those who are serious, for jokes wewe pita tu usilete usumbufu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
napenda kutoa taarifa kwamba nimefanikiwa kupata mke mtarajiwa hapa jf kupitia bango ambalo niliweka,nilipokea pm nyingi na kupitia hizo malkia mmoja amepatikana.aidha napenda kuwatia moyo wote...
3 Reactions
82 Replies
6K Views
Tuheshimu hizi semi za wahenga... mfano; "if you can get a free milk", why keep a dairy cow?"... Hii inawahusu sana wadada (probably na wanaume) Jaribuni kuwa na mvuto, walau wanaume zenu...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Heshima mbele wana MMU wote!!ebana asubuhi ya leo ndo nahitimu masomo yangu ya chuo kikuu.namshukuru mungu na watanzania wote kwa ujumla kwani kodi zenu ndio zilizonifanya na mie niweze kuipata...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nataman sana kua na Mchumba wa kike,then akiwa tayari hapo baadae tufunge ndoa,niko mwanza, Awe btn 18-24,na mkaz wa mwanza pia. Mi 24yrs,ni mwanasheria na pia ni mjasilia mali, Nimechoka kua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naishi Tanga town,natafuta binti wa Kitanga awe mdigo au m'bondei,miaka 25-30.Kwa urafiki,baadae ikiwa poa ndoa!Tuma e-mail:mpigaji@rocketmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, :cool: yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah, wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, :cool: yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah, wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Mnamo mida ya chakula cha mchana (lunch time) na nikiwa katika hekaheka na pilikapilika za maisha, nilijikuta karibu kabisa na sehemu ya maegesho ya magari katika maeneo ya Magogoni karibu kabisa...
3 Reactions
69 Replies
6K Views
Kwa wasiofahamu hii ni moja ya hitaji muhimu sana kwa ndoa! Ili ndoa iwe halali, couple must be able to consummate. This is the first act of sexual intercourse after marriage. If in any case...
1 Reactions
96 Replies
6K Views
Drama as married woman caught cheating There was naked drama at a local lodge in Harare when a married woman was caught red handed by her husband while having ‘horizontal gymnastics’ with a...
0 Reactions
27 Replies
13K Views
Kuna jamaa yangu mmoja na ni mtu wangu wa karibu sana,anampenzi wake wa kike ambaye ameshamtambulisha hadi kwao,ila kunamambo ambayo yanamtokea jamaa huyu ambayo amejaribu kuniomba ushauri,na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukisikiliza bongofleva (mi sio mpenzi kiviiile), utagundua vijana wa kiume wanapoibukia, ambapo wengi wanakuwa kwenye early 20s, wanakuwa na nyimbo zao za kwanza za mapenzi zenye msg zinazofanana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam zenu wanajamii. Miongoni mwa vitu vinavyotufanya tupendane ni mahaba, ukuruba (feeling to each other) maumbile (beauty), maingiliano ya kimwili (sex), matarajio (expectations) na mengine...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
...This couple is heading to their honeymoon and their car gets a puncture.. so what do you think is the correct situation here; 1. The guy was forced to marry this lady 2. The guy doesn't...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo jumapili ilikuwa nzuri sana. Nikiwa boad nimejikongoja na kuamua ninyoshe miguu mitaa ya Sakina hapa A-Town. Yaliyo nikuta huko imenipa picha na negative yake kuwa ukitaka kujua jinsi gani...
6 Reactions
107 Replies
19K Views
Kumekuwa na mijadala mingi sana humu MMU kuhusu kuvunjika kwa ndoa,wapenzi kuachana,kusalitiwa na kusaliti,kupigwa kibuti na yote haya ni matokeo ya mahusiano ya watu wa aina mbili tofauti yaani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba kutumia jukwaa hili kuwapongeza sana wanawake makini ambao naamini ndio waliojaa JF. Kwa kawaida miaka 2-3 baada ya harusi, vile vijizawadi; jiko, sufuria, glasi, sahani, microwave, sijui...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom