I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Her husband is a business man and he is the best man you would ever meet. He’s so good to my family, and he hardly ever raises his voice or gets mad.

You know mellow and calm people? That’s him! I love and respect him like I would my father cos he’s like 8 years older than my sister.

He takes care of his children (they have two) and he gives my sister and me lots of money.......

Imeniuma sana sana kuona anamcheat........

Naomba Ushauri wenu kabla sijamsemea
 
Boflo kwanini unamsemea? Ili akuongezee dau? Do you know their marriage problems? Kama hamtimizii mke wake ama na yeye amekuiga Boflo mke afanye nini sasa? Mi sikushauri....mambo ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Her husband is a business man and he is the best man you would ever meet. He's so good to my family, and he hardly ever raises his voice or gets mad.

You know mellow and calm people? That's him! I love and respect him like I would my father cos he's like 8 years older than my sister.

He takes care of his children (they have two) and he gives my sister and me lots of money.......

Imeniuma sana sana kuona anamcheat........

Naomba Ushauri wenu kabla sijamsemea

Muite dada yako umuonye na hiyo tabia. Ukimwambie shemejio inaweza kukuletea matatizo either kati yako na huyo dada yako au pengine hata na huyo shemeji yako pia. Si jambo jema kuingilia sana maisha ya mahusiano ya watu kufikia kumueleza shemejiyo juu ya hilo jambo, unaweza kuhatarisha usalama wa hiyo ndoa yao. Think! :ear:
 
advice your sister to stop cheating. talk to her without being judgmental and see what happens. If she is stubborn then make it so that the husband finds out without being too obvious
 
Eti ukamsemehe, halafu akiachwa ndo uingie wewe?

Damu nzito kuliko maji ongea na dada yako ukitaka na uwe na heshima maana hujui ndoa yake ikoje.

Duh yaani wewe ni wivu au nini? Eti ukamwambie shemeji yako sababu ya msaada anaotoa kwenye familia yenu, acha tamaa kweli maisha magumu hadi unataka kumgeuka nduguyo duh.

Haumpendi dada yako wewe, na ujue shemeji sio ndugu yenu, pia utashangaa na yeye analala nje kwani humjui kihivyo. OK?
 
mmmhhhhh! its complicated kwa kweli, but dont tell her husband pulizzzzzzzz!
 
utasema kwa sababu shemeji ndio provider? na kama dadako je ndo angekua nazo ungesema kwa shemeji? au unamtaka wewe? kama utasema halafu iweje? TAFAKARI kabla ya kuchukua hatua, je dadako anapata haki yake ya ndoa huko chumbani kwao ama we unajali mafweza tu kutoka kwa bwana shemeji? Kua uyaone!
 
Blood is thicker than water! Ongea na dada yako ajue anachofanya sio siri tena, leo umejua wewe kesho itamfikia mumewe! Ataumbuka vibaya..
 
Talk to ur sister in a very friendly way! Itakua hata rahisi kujua kwa nini kafanya hivo na mtapata way out
 
Mimi mwenyewe nisingejua cha kufanya in such situation, kumsemea dada ako si busara pia naona kama kumsema/mkanya pia si rahisi...................mimi uwaga naamuaga kukaa nayo kifuani, aisee nitakufa na siri nyingi.......lol

Ni kweli Elizabeth Dominic kuwa saa nyingine ni ngumu kujua cha kufanya. Ila kuna usemi usemao za mwizi ni arobaini, sasa unaweza kukaa kimya ukijua kuwa ndiyo umesolve tatizo halafu huyo dadako akaja kubambwa na kupewa kipigo kibaya plus talaka wakati still ulikuwa na nafasi ya kumshauri mapema kuiponya ndoa yao...

Ninachofikiri kumshauri si kitu kibaya, tatizo huwa ni namna gani unautumia mdomo wako kumshauri ili asijione amedharauliwa au kuumbuliwa. Suala la kuacha au kutokuacha hayo ni maamuzi yake mwenyewe, ila wewe utakuwa umetimiza wajibu wako mwema kwa ndugu yako! :A S confused:
 
hujapata dada mwehu wewe
unaenda kusema....anafanikiwa kusamehewa na mumewe
anakufuata anakutukana hadi basi.
utakuja kuambiwa upewe wewe kitumbua kama inakuuma kikipelekwa nje
mbona mwenyewe haimuumi?

na ataanza fitna kwa mumewe hizo pesa unazopewa utazisikia kwenye radio....

hebu tafuta mke na njia za kuongeza kipato aisee
 
Boflo kwanza usimwambie shemeji yako chchote kile manake usitake kuitwa adui badala ya rafiki. Pia siku zote usitie fitina kwa heri wala kwa shari na wala usijegeuka mwiba kwenye ndoa ya dada yako.

Madhara ya kusema ni makubwa kuliko ya kukaa kimya wenye situation kama hiyo, na wala wewe haikupi credit yeyote manake kama huyo mume ataamua kuona dada yako hana maana ni pamoja na wee na ukoo wenu wote.Mwanaume mwingine akikasirika huweza kusema kama ukoo wenu wote malaya nyie............sasa hapa hujatukanwa na wewe?

ni afadhali aje agndue yeye mwenyewe shemeji kuwa anasaltiwa kuliko wee kumwambia. Pia kama una hekima sana sema na dada yako and kama huna pia basi itaongezeka sana pale utakapo kaa kimya kama vile unanyolewa nywele.
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya cheating mtasema mengi na kuimba mengi Boflo at the end of the day the easiest

way for somebody to know his/her partner is cheating is by finding out by oneself.

At the time being talk to ur sis that she should cheat responsibly, utabaki unamlaumu kumbe shemeji

yenu sex hawezi zaidi ni kuwa good to ur family. Every body needs great sex mazee!
 
Last edited by a moderator:
hujapata dada mwehu wewe
unaenda kusema....anafanikiwa kusamehewa na mumewe
anakufuata anakutukana hadi basi.
utakuja kuambiwa upewe wewe kitumbua kama inakuuma kikipelekwa nje
mbona mwenyewe haimuumi?


na ataanza fitna kwa mumewe hizo pesa unazopewa utazisikia kwenye radio....

hebu tafuta mke na njia za kuongeza kipato aisee


hii noma sasa.....nipewe mimi kitumbua!!!
 
.....acha kujitwisha fuko la misumari kichwani ilhali umevaa taji la miba...
 
Back
Top Bottom