Wewe unahisije? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wewe unahisije?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ngekewa, Jun 22, 2012.

 1. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nimetumiwa hii kwenye email ikiwa na heading "Right answer". Kusema kweli mimi imenistrike kiasi nikaona nigawane nanyi wenzangu. Wewe unaonaje?


  Nobel Peace prize winner, Tawakkul Karman, When asked about her Hijab by journalists and how it is not proportianate with her level of intellect and education, replied "Human being in early times was almost naked, and his intellect evolved he started wearing clothes. What I am today and what Iam wearing represents the highest level of thought and civilization that human being has achieved, and is not regressive. It is the removal of clothes that is a regression back to the ancient times"
   
 2. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nimeguswa hasa na hiyo kwenye bold, kwa kuanzia.
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  wape bi Tawakkul, wapeeee
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu kigumu kwa binadamu kama kumuelewa binadamu mwenzake,iwe kuelewa maana ya mila za mwenzio,imani,tararibu au mwenendo wake,too sad lakini ndivyo ilivyo,we always tend to see the world from the prism of our own eye,na hii ndio sababu vita haviishi duniani.
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe mkuu hasa hapo kwenye bold!!!
  Kwa kuongezea, (please don't quote me otherwise!) Kwa mtu asiye wa Mila, Imani na taratibu za jamii husika, ni ngumu mno kuelewa imani, mila na taratibu za jamii nyingine. Mara nyingi hutafsiri kuwa kile kilicho ndani ya jamii yake au imani yake ndicho kitu sahihi zaidi na wengine wote wamekosea. Na hii nafikiri ndiyo imeleta sababu tele za migogoro ya kikabila na kidini kwa siku za hivi karibuni.
   
 6. s

  straity Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli jamani, mimi binafsi nimependa sana jibu lake...na kwakuongezea lazima tujue kwamba mwili wa mwanamke wote ni uchi na ndio maana unaweza kumtamani hata kwa kuangalia mguu wake tu kwahivyo ni vizuri wakajistiri pote ili kupunguza matamanio na vishawishi kwa wanaume
   
 7. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,678
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160

  Very thoughtful answer indeed I must say!
  But the the view towards way of dressing has proven to be highly subjective...
  a) We dress to protect our bodies from environmental variations in this case you would probably dress as heavily as possible in cold areas while try to dress as lightly as possible in equatorial or hot regions.

  b) To hide our nakedness or sensitive or provocative areas...unfortunately this is the most problematic reason since again how a person judges another persons way of dressing as provocative is highly subjective and since it depends on how we can control ourselves it extremely debatable if it will ever end because we do vary a lot in how we control ourselves...

  Sasa watu wengine ni perverts hasa! Hata waone kucha wanatamani! Sasa unabalance vipi sababu za kimazingira na kuwalinda watu wa namna hii?
  You can never please everyone! Kwa hiyo mi naona tuvae tu vizuri kwa kadiri tunavyoweza
   
 8. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,678
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Halafu tena unaweza kuta mwanamke amevaa kafunika hata macho. haonekani chochote! Kapita zake kwenye upepo ukampuliza na umbo lake likajichora pamoja na kuvaa nguo, wanaume wakamtamani!
  Basi kama huyu tumtengenezee kijumba atembee nacho au asitoke ndani kabisa!

  U will never end the male tantrums - Yani challenge za wanaume tuachieni tu wenyewe
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,246
  Trophy Points: 280
  PetCash, ili mwanaume atamani hahitaji sababu kadhaa! Unakuta mtu kaacha mke mzuuri home anatembea na 'equipment', I mean mwanamke m'baya wa sura, tabia, mchafu, mlevi na kadhalika!

  Mie nimeamua nirudi Eden, dressing to the minimum.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,737
  Trophy Points: 280
  Ooooooooooooh
   
 11. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mwali nimekumiss, mbona sikukuona juzi kwenye kilugwai?? na kiduku?? lol! it was fun! mtu alisutwa kha! karibu mwaya!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mwali ulikuwa wapi madia? nimekumiss sana bwano lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  swala la dress code hili nashindwa hata niliweke vipi kwani tuchukulie mfano mdogo tu from anecdote, waalim ni watu muda wote wanavaa ,mavazi ya heshima, sana hadi unawatamani lakn kumbe ili kutongozwa haihitaji kuvaa vazi la ajabu wapo wanaotaka mtu anaye jistiri.

  so to me kujistiri ni kwa namna gani ndiyo swala la msingi na hili pia linaangalia mila na desturi za watu. watu wengi kwenye nchi za baridi sana huwa wanajistiri sana ila wakati a summer inabidi waache miili yao ipigwe na jua kwa ajili ya photo-oxidation sasa na nikweli wanahitaji hili.

  haya nchi za jua kama huku kwetu watu wanavyaa wanavyopenda kulingana na amani ya mtu mwenyewe, na jinsi anavyoueshimu mwili wake so huwez ukalisemea kwa mtazamo mfupi yakupasa kufikiria katika nyanja mtambuka ndipo uitolee jibu.
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ndio maana ukaambia lower your gaze, ukishaona matamanio kama haya.
   
 15. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana nawe Bishanga lakini kutokana na dunia kuwa kama kijiji je hakuna haja ya kuwa na universal code of dressing?
   
 16. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Natamani nasi jamii yetu tungejijuwa zipi mila zetu, pengine mambo yangekuwa tofauti na yaliyvo sasa asa far as vivazi vyetu vilivyo sasa!
   
 17. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jee nafasi ya muhusika katika jamii nayo haina nafasi ya uvaaji? Najiuliza hivyo kwa vile hata huko nchi za baridi wakati wa summer watu mashuhuri (nikimaanisha viongozi) huwa makini na vivazi vyao.
   
 18. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Labda ni kweli hapo kwani nikwaangalia Walethoto na wananyoona fahari kuanika vitu vitamu kwa akina sisi, huwa najiuliza jee tuna matumizi tofauti ya hivyo vitu kati ya wao na sisi?
   
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  inayonafasi sana tu kama ingekuwa haina basi si ungekuta watu wanakwenda ofcn na vichupi huo ulaya?
   
 20. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mwali samahani,eti una bajeti ya saluni katika matumizi yako?
   
Loading...