Ingwekuwa wewe ingeluwaje?

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Jamaa kamfumania mkewe,
Mkewe kamwambia basi mume wangu kwakuwa najua unaenda kunifukuza ngoja niagane na jamaa vizuri asije akasema nimemkimbia, maana mara ukiisha kunipa talaka yangu nategemea ni kwa huyu uliyenifumania naye ndiko ntaenda au yeye ndiye atakayenituza baada ya kufukuzwa na wewe kutokana na huku kunifumania,
Duh jamaa kusikia vile kawivu flani hivi cha mapenzi kaka mjia akamwambia basi mke wangu nimekusamehe twende zetu nyumbani. unaambiwa mpaka leo mwaka wa tano sasa wanaishi kwa amani na furaha
 
the guy is an imbecile......kuna makosa sio ya kusamehe.probably huyo mama anaendelea kucheat.
 
the guy is an imbecile......kuna makosa sio ya kusamehe.probably huyo mama anaendelea kucheat.
Kunya hunya bata tuu....Siku zote kuku huharisha...Lol...Wanaume tunafumaniwa almost everyday.....tunaona pouwa tu ni haki yetu.
 
naona hakuna uhalisia maana kawaida fumanizi huenda na hasira, gadhabu na kisasi ... pia kuna mambo huambatana kama kupoteza ujasiri nk .. hapo vyote vinaonekana kama ni vya kusadikika
 
Napita tu,karibuni lidaz club tupate thubu ya ulimi wa kuchoma ( ngumi).
 
issue ya kupenda ni too personal... hatuwezi kujua nini angeki-miss kwa hiyo mwanamke
 
Jamaa kamfumania mkewe,
Mkewe kamwambia basi mume wangu kwakuwa najua unaenda kunifukuza ngoja niagane na jamaa vizuri asije akasema nimemkimbia, maana mara ukiisha kunipa talaka yangu nategemea ni kwa huyu uliyenifumania naye ndiko ntaenda au yeye ndiye atakayenituza baada ya kufukuzwa na wewe kutokana na huku kunifumania,
Duh jamaa kusikia vile kawivu flani hivi cha mapenzi kaka mjia akamwambia basi mke wangu nimekusamehe twende zetu nyumbani. unaambiwa mpaka leo mwaka wa tano sasa wanaishi kwa amani na furaha

ukicheat mara moja huachi daima,unakuwa ni muhanga wa ku-cheat,huyo anaendelea ku-cheat kwa umakini wa hali ya juu
 
aisee mi nikimfumania mke wangu na nimsamehe ujue lazima na mi nitalipiza kisasi panga pangua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom