Tatoo za mpenzi wangu, zinanivunja moyo. Nampenda ila sijuai nifanyaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatoo za mpenzi wangu, zinanivunja moyo. Nampenda ila sijuai nifanyaje

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kwamtoro, Jun 14, 2012.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Hii imekuwa inanisumbua sana yapata mwaka sasa. Mpenzi wangu katika malavi lavi na kudadavuana ya kiujana na boyfriend wake wa kwanza. Boyfreind wake alimlisha yamini mpaka kafikia kuchora Tatoo mbili kwenye mwili wake. Moja ya pajani juu sana ina alama ya kopa na mameno Victa for Life. Na ya kwenye makalio ameandika For Simple V. Victa alimtenda na mahusiano yao yakaisha bila kufikia malengo yao. Now nipo mimi.

  Nampenda, naitaji kumuoa ila hili linaniumiza sana
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwani huwa hazifutiki?
  Ukipenda boga penda na UA lake
   
 3. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Tumia mawese na sodom apple kuifuta
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  pole, vumilia tu mana ilishatokea na huwezi kupingana na ukweli
   
 5. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Tatizo nimempa muda wa yeye kushuhulika nazo bila kumwambia (kipimo). Yeye hana habari kabisa. Anaona kawaida
   
 6. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hahahahhaha yaani alichora hadi kwenye makalio? usiwe na wasi na wewe chora kwenye sehemu za sir andika jina lako na nyingine chora chini ya kitovu andika jina lako
   
 7. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Kakomaa kiakili now. Alifanya hivyo wakati akiwa age ya 17-20. Tatizo lingine, mweupeee!
   
 8. King2

  King2 JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mshamba huyo demu.
   
 9. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,320
  Likes Received: 2,298
  Trophy Points: 280
  Kama namfahamu vile.......anaishi dodoma?
   
 10. m

  mhondo JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  kwa aliyeandikwa kwenye tatoo kama anasoma hapa ameshajijua.
   
 11. sanawari

  sanawari Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  c est la vie .. Man
   
 12. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  D ftr ke ufd...Man
   
 13. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mpende kama alivyo!
   
 14. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  heheeh pataam apo
   
 15. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  umemaanisha nini? Maana mwenzako amemaania hayo ndiyo maisha
   
 16. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mh,tafta mwenye utaalamu wa kuzifuta. hakika inabore. me binafs huwa cpend kuona kumbukumbu yoyote ya x! iwe wangu ama wake. . .
   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  duh mboha kazo unayo kaka..ila tafuta namna ya kuifuta
   
 18. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ndiyo matatizo ya foolish age hayo na asipoangalia itakula kwake... hapo mweupee una maana rangi ya ngozi au ni kipunga?
   
 19. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Du!, Pole jomba. angekuwa ni dem wangu huyo lazima ningemuunguza na pasi ili hiyo chata itoke, kisha ningeweka chata yangu.
   
 20. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mwambie azifute. wataalamu wapo
   
Loading...