Watangazaji wa tv, Redio na wasanii na watu wengine maarufu je hawana mapenzi ya kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watangazaji wa tv, Redio na wasanii na watu wengine maarufu je hawana mapenzi ya kweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Alagwa, Jun 24, 2012.

 1. Alagwa

  Alagwa Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ukweli sijaujua kwa hili ivi kama utu ukiwa maarufu kwanini kila msichana au mvulana anataka kuwa na mahusiano na wewe? Hatakama ukiweka wazi kuwa una mke au mme bado tuu unasumbuliwa hivi hii ni kwawatu wote au ni kwa watu maarufu tuu.
   
 2. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Wewe ni maarufu??
   
 3. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  sana ni kwa watu maarufu. wanafikiri ukiwa na mahusiano na mtu maarufu utapata sifa kubwa kwenye jamii na pia wanahisi watu maarufu wana pesa.
   
Loading...