Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi natarajia kumwoa mwakani. Sasa Iko hivi huwa nikikutana na huyu mpenzi wangu huwa nakosa cha kuzungumza nae tunaweza tukae hata dk 5...
3 Reactions
121 Replies
21K Views
Habari zenu wanajamii forum wenzangu. Natumaini amjambo na hizi siku kuu zinawaendea vyema. Kwa upande wangu siku kuu zimekaa vibaya mno. Nilileta mada ya kuachwa na mpenzi ambaye bado...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kuna wakina dada ambao wamekidhiri kwa kupiga vibomu (mizinga) yaani ukiona simu yake imeingia ni lazima kabla ya kupikea uangalie kwanza waleti ina wekundu wangapi, maana ni lazima ataomba pesa...
2 Reactions
122 Replies
14K Views
Hi guys...Haki ya Mungu Asanteni Sana Kwa Kuwa Party Of Me Kwa Mwaka 2015,I swear you guys are the BEST..Mmekuwa sababu mojawapo ya TABASAMU Usoni Kwangu.... Anyways Naanza kama...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna msemo unasema neema zikianza kuja huwa zinaongozana, sasa naanza kuuamini.... Hapa kuna wadada kama wanne wote wapo kwenye mstari...kuna mmoja nilishow interest kwake, ni mwaka sasa akawa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kumekuwepo na hisia za wanaume baadhi kuwa si kila mwanamke mwanaume anaweza kumpata Mimi nakuambia hakuna mwanamke dunian hata kama ni mke wa Obama asiyekuwa na udhaifu mbele ya mwanaume nitataja...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Mi huwa nashangaa sana yaani pale linapotokea fumanizi labda umekutwa na mke wa mtu gesti, watu wamezoea kumtoza faini mwanaume aliyekamatwa..... Lakini pale mwanamke anapogumaniwa na mume wa mtu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilimuona kwa mara ya kwanza mwaka Jana maktaba ya chuo nikapendezwa nae ,niliona Kama anafaa kuwa mke wangu baadae,Nilifanya kila juhudi kuongea nae ,hatimae nikakutanishwa nae na dada mmoja...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
habarini za saizi wapendwa jamani eti kichwa kuuma na mwili kuuma mara baada ya siku moja baada ya ku do ni dalili za ujauzito au ni kuchoka tu mana naona ni mapema sana wenzangu mnao elewa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Waheshimiwa nashindwa kuelewa wasichana wengi hapa mtaani kwetu kupenda kuniamkia kitendo ambacho kinafanya nishindwe kuendelea na zoezi la kumtongoza binti husika Sasa sijaelewa huenda wanadhan...
3 Reactions
75 Replies
10K Views
Habari wana JF, natumaini mko poa! Kuna jambo ambalo nimejifunza katika mahusiano ya kimapenzi, nimeona ni vyema tukajadili wote kwa pamoja,mmi binafsi napenda sana mapenzi ya dhati na ya...
3 Reactions
30 Replies
10K Views
Yan Mungu ntamganda mpaka kieleweke 2016 unitunuku na mume kabisaaa sio boyfriend....sijawah apa au kusema mwaka flan nipate mwenza ila huu mwaka 2016 yan nautolea macho in Jesus name na ntakuja...
13 Reactions
160 Replies
15K Views
NDOA INAHITAJI UWEPO WA MIKONO YA MUNGU NA SI VINGINEVYO Wakubwa Hii inawahusu Sana Sio kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE Ukisoma kwa Undani Utanielewa tu Ulimwengu huu tunaoishi muogope...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Habarini wa ndugu. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu hasahasa kwenye mvuto wa mtu na mtu kwenye swala la mapenzi. Nitazungumzia upande wa mwanaume kuvutiwa na mwanamke kwamba ni...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Msichana mzuri amepumzika akipunga upepo Joto limezidi sijui Mh...... Khe...... Ohooooo....... Duh kuna njemba anakula chabo Binti ameanza kuondoka.. Jamaa kaona sio tabu ngoja...
3 Reactions
33 Replies
13K Views
Habari wanaJF, Natafuta msichana kutoka sehemu nilizozitaja hapo kama upo tayari nicheki kwa mawasiliano zaidi niko Dar.
0 Reactions
24 Replies
10K Views
kama wewe ni msichana wa umri kati ya miaka 18 up to 20,na unahitaji boyfriend reply sled hii kisha tutawasiliana zaidi.Naomba wale wanaohitaji tu ndo wareply sled hii please.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binti MHITIMU Kabisa Wa University Mwenye Miaka 25 Na Kijana NJEMBA Lakini Bosi Ktk Taasisi Fulani Mwenye UMRI Wa Miaka 31 Lakini Ambao Wote Bado Wanaishi NYUMBANI Kwao KUFULIWA CHUPI ZAO ( Nguo...
2 Reactions
131 Replies
16K Views
Habari Wakuu Ni katika Kuzidi tu kushirikishana katika Yale yanojiri Maishani. Ni Kipindi ambacho Nilikuwa nikihitaji Pesa kuliko Chochote.Kwani Niliamua kurudi Darasani kujiendeleza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini za kazi wanajamii wenzangu. Kuna jambo limenigusa sana kiasi kwamba nikaona nililete humu. Napenda sana kusikiliza kipindi cha kashikashi za mtaa kupitia radio capital. Kuna mdada...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom