Waheshimiwa nashindwa kuelewa wasichana wengi hapa mtaani kwetu kupenda kuniamkia kitendo ambacho kinafanya nishindwe kuendelea na zoezi la kumtongoza binti husika
Sasa sijaelewa huenda wanadhan mm ni mtu mzima maana nina ka kitambi kwa mbaali, na pia napenda kuvaa mkanda nje, mayenu
Yaani hata wale wa rika moja na mm wananiamkia sasa hii tabia ya kuamkia hovyo hovyo imetoka wapi siku hizi? Mnatafuta nn haswaa, tunaanza kuzeeshana bila sababu ya msingi, mwamkie mzazi wako nyumbani bana