Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,227
NDOA INAHITAJI UWEPO WA MIKONO YA MUNGU NA SI VINGINEVYO
Wakubwa Hii inawahusu Sana
Sio kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE
Ukisoma kwa Undani Utanielewa tu
Ulimwengu huu tunaoishi muogope sana mpenzi wa zamani wa mkeo kabla HUJAMUOA na muogope sana EX wa mmeo kabla HAJAKUOA kuliko hata hawa vidume na vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa pete.
NITAKUELEZA KWANINI.
Kuna watu walipendana sana lakini hao waliowapenda kwa moyo hawakuoa kutokana na situations fulani, mwanamke akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu ambacho kilikuja na sera ambazo 'wanawake wanapenda' na kako vizuri financially ikabidi huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la moyo' kidemokrasia tu aolewe na wewe.
It doesnt matter how lakini hawa watu wawili walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa, ukamhamisha mkoa wasionane, ukambadilishia namba za simu wasiwasiliane tena,
Itapita miaka hata sita hawajatiana machoni ipo siku watakutana Kariakoo kwenye shopping, zile cheche na hamu na mapigo ya moyo yataruka upya, na kifuatacho ITV kitakuwa Isidingo Mapenzi yao hayakufa.
Pete haizuii kitu watajikuta wamefanya yao tena kwa huba zito la kumisiana kwa hali ya juu, wewe ukidhani Pete pekee itamlinda, kumbe waapiii, na huo ndio utakuwa mwanzo wa hawa watu wawili kuwa na Reunion kabambe ya kulegeza Chaga,wewe umeoa other side mwenzio anapiga Bureee bila Mshenga.
Je nadanganya?
Ndoa ni Complicated kuliko Hesabu za Logarithm na Integration, ndoa ni fumbo na walioweza kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa Mungu, ila wengi wanadhani wamelifumbua fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego ulipo.
Ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu otherwise "UTAOLEA JIJI"
2016 inahitaji maombi sana, kesheni mkiomba kwani hamjui siku wala saa.

Last edited by a moderator: