Habari wana MMU,
Mimi ni kijana wa kiume na kuna binti fulani hapa mtaani kwetu nilitokea kumpenda, hyo binti ni mfanyakazi wa kwenye duka moja hapa kitaa sasa mwanaume nkajipa ujasiri wa kuwa...
UWE MUAMUZI WA MWISHO WA MAMBO YANAYOKUHUSU WEWE MOJA KWA MOJA
Kuna mambo mengi yanayofanyika hapa duniani, sio kwa faida yako, hasa ya muda mrefu.
Fikiri kila unapopita kuna biashara nyingi sana...
Moja kati ya vitu vinavyowakumba vijana wengi wa kileo, ni kutokuwa na mahusiano endelevu/yanayodumu kwa muda mrefu. Tatizo hili limefanya watu wasifurahie mahusiano yao, au mara nyingine...
Mimi ni mkaka elimu dasa LA 7, mrefu futi 8 mweusi ti, fundi ujenzi nahtaj mchumba awe meupe sio sana au maji ya kunde, awe mrembo, elimu kuanzia fomu foo, awe na kazi rasimi, awe mpare...
Habari Jf
Sio kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE:
Utanielewa tu.
Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi
wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na
Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA...
Habari wadau,
Mimi ni kijana nimempata mdada mmoja nikampenda sana sana ila tatizo ananiambia anamchumba anasoma chuo.
Mimi nafanya kazi nimemshauri amwache nimuoe amegoma kabisa.
Nifanyeje...
Habari za wakati wana MMU.
Nimeamua niweke thread hii ili wote tupate kujua kinachoendelea katika mila na desturi yetu Waafrika. Ni hivi;
Ndugu zetu Wakurya wana utamaduni ambao upo kwenye...
Yaani its a long story ila naitaji msaada mkubwa i know its hard to trust a total stranger someone you completely dont know ila mtu atakayeguswa anipe a chance tashukuru a matter of life and death...
Mara nyingi napokua nacheza mziki hasa na dem wakati anapokata mauno mbele yangu(grinding) huwa nasimamisha wazungu wanaita getting a boner. Je ni vibaya or ni udhaifu? je wadada mnachukuliaje...
This is GOOD. I expect it back too!
A simple friend, when visiting, acts like a guest. A real friend opens your refrigerator and helps hi ms elf (and doesn't feel even the least bit weird...
Watu wengi Walio jaa uzandiki wamekuwa wakijitokea na kubeza kuwa kujichua kuna madhara,hii si kweli bali ni milengo ya kihafidhina ambayo inataka kuendekeza ukaha na umalaya kwa vijana...
Nipo Dar mimi ni mwanaume
1.Mnene wastani,mrefu wastani
2.Umri wangu 30yrs
3.Mkristo
4.Rangi ni maji ya kunde
5.Sina familia,naishi peke yangu
Sifa za mpenzi/mwanamke
1.Umri kuanzia miaka 15 hadi...
Hongereni wapendwa kwa pilika pilika za maandalizi ya mwaka mpya.
Kuna rafiki mmoja hivi (Jina kapun) alikuwa anatembea na mke wa mtu kwa muda mrefu tu, Ila mke ni mkubwa sana kwa mshikaji, mke...
Habr zenu wanaJF,
Nimejarbu kuutafuta ukweli wa mmbo haya bila mafanikio
1:kwann wanawake hawana misimamo mara nyingi,yaani anakataa na kutusi then anakubr !!??
2:Mwanamke kukubar sifa hata kma...
Ikiwa ww ni mwanume na ungependa kujiepusha na kulea 49% ya watoto wasio wako, yaani wamezaliwa na baba mwingine wakati wewe upo basi tembelea
Utajua dalili 10 za mwanamke asiyetoshelezwa na kwa...
WANAWAKE MSILALAMIKE SANA
Wanawake wengi hulalamika kuwa wanaume ni watata kwenye mapenzi. La hasha wanaume wengi tunapenda mambo yafuatayo
1. Siku zote wanaume huangalia mapenzi kwa wenzi...
Leo kutakua na kikao na sherehe ukweni, mimi ni mnyamwezi wife ni mnyamwezi.
Tatizo lipo kwangu lugha haipandi na kama unanyojua wanyamwezi wakikutana wanavyopenda kuongea lugha sijui nitakua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.