LadyJanja
Senior Member
- Nov 28, 2015
- 101
- 48
Yan Mungu ntamganda mpaka kieleweke 2016 unitunuku na mume kabisaaa sio boyfriend....sijawah apa au kusema mwaka flan nipate mwenza ila huu mwaka 2016 yan nautolea macho in Jesus name na ntakuja kutoa feed back humu December 2016.. najua kuna wanawake wenzangu ambao nao wanaomba iwe hvo..hamna namna nyingine zaid ya kupiga goti kwa Mungu atupe waume na wake boraa..ila huu mwaka ntadili na Mungu vizuri ipasavyo kwa maana amesema tumuite nae ataitika na atatuonyesha mambo makubwa makuu tusioyajua.natarajia mema!