Kipi cha kufanya neema zinapoongozana?

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
14,537
31,686
Kuna msemo unasema neema zikianza kuja huwa zinaongozana, sasa naanza kuuamini....

Hapa kuna wadada kama wanne wote wapo kwenye mstari...kuna mmoja nilishow interest kwake, ni mwaka sasa akawa anapiga chenga..hivi ninavyoongea kashajaaa...

Pia miezi miwili iliyopita kuna mdada sikuonana naye kwa muda, so aliomba namba nikampa...akaanza kunisimulia majanga yake ya mapenzi..Xmass nikampeleka beach na final tukajikuta tumefanya mapenzi..sasa huyu toka siku hiyo kaniganda kama ruba..inshort moyo haupo kwake, nampenda kama best tu!!

Watatu ni bidada nimemfahamu a month ago, tunawasiliana na anaonekana kwamba ni mtu ambaye brain yake iko poa...anadai mapenz yamemchosha, amechoka na wanaume tunasumbua...kiufupi yupo juu ya reli..kumkosa sihitaji!!

Wanne tulishindana 4 years ago, japo alikuwa ni rafiki tu ambaye tulikuwa tunaelekea kwenye mahusiano ya kimapenzi kulingana na vitabia vyake..naye namuona anarudi kwa kasi...anaonesha kama ni mtu anayejutia makosa yake, moyo upo kwake japo siyo sana!!

NB: Lengo la uzi ni kutaka kupata uzoefu katika hii hali, unawwza ukatongoza/ukashow interest kwa wadada pengine zaidi ya wawili( pengine ni katika kidiversify risks ya kukataliwa), so ulifanya/mnafanya nini ikitokea wote wakajaa kwa wakati mmoja??

Happy New Year 2016!!
 
aisee... waonaje ukawaita wote pamoja mkapanga pamoja ratiba,mimi huwa nafanyaga hivyo....
 
nilijua kuna tenda uni outsource kumbe wanawake. alafu wanne mbona wachache tena ni 3 huyo uliyemla mtoe kwenye orodha piga na hao waliobaki wanawake ni masex toy wala usiogope.
 
Nyama ni ile ile utamaliza bucha za town mkuu.

Kumbuka kinga,

Dec 2016 upime HIV/AIDS
 
Hizo ni balaa mkuu,co neema.kama vp Ni PM contact za mmoja wapo..nkusaidie kupunguza mzigo.Teh Teh,just kidding mkuu
 
Back
Top Bottom