cantonna
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,120
- 439
Kuna wakina dada ambao wamekidhiri kwa kupiga vibomu (mizinga) yaani ukiona simu yake imeingia ni lazima kabla ya kupikea uangalie kwanza waleti ina wekundu wangapi, maana ni lazima ataomba pesa tuu!! Kiukweli wengi wenu mnaachwa kwa sababu hiyo we kila siku unataka pesa tuu mbona we kutafuta unashindwa? Unajua msipende kuwa na macho marefu kwenye pesa afu kitandani kwenyewe gogo shuhuli F!! Unajua si wanaume siyo mafala kivile, yanapozidi mambo huwa tunajiweka pembeni, we kila siku una shida wewe tuu tena ya pesa? Muwe na huruma na watoto wa wenzenu bhana, siku nyingine muwe mnatupa mambo bila kuomba pesa, maana ukinyimwa pesa basi sababu kibao mara nipo mwezini ili mradi tu kukukatalia kwa sababu hujampa pesa sasa ndo mapenzi gani hayo, ndo maana mnaachwa kila kukicha!!!! Habari ndo hiyo mvimbe mpasuke mwakani pesa za kupewa hovyo hazipo!!!!