Wanawake na matatizo yao katika mahusiano ya kimapenzi

nyaggad

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,160
692
Habari wana JF, natumaini mko poa!

Kuna jambo ambalo nimejifunza katika mahusiano ya kimapenzi, nimeona ni vyema tukajadili wote kwa pamoja,mmi binafsi napenda sana mapenzi ya dhati na ya kweli!,kuna msichana mmoja nilimpenda sana na nilipenda huko mbeleni pengine aje kuwa mke wangu.

Huyo binti amemaliza Diploma chuo kimoja hapa Daressalaam mwaka huu, kwa Mara ya kwanza yule binti nilimtongoza mwaka Jana alikuwa bado anasoma chuo akanikubalia lakini cha kushangaza matendo yake yalikuwa hayaonyeshi kama ana upendo na mmi,alikuwa hanipigii simu wala kunitumia sms mpaka nimuanze mmi hata kama Ana credit utamuona Ana chati tu online na siku akini beep ujue anashida anataka nimtumie pesa.

Niki mwambia basi tutoke out tuka pumzimke somewhere labda lodge au hotelini hataki, yeye anataka muende bar au restaurant mkale kuku chips yai na vinywaji mkimaliza kila mtu aondoke kivyake.

Binafsi nilimvumilia nikajua labda yeye hapendi mapenzi kabla ya ndoa, lakini kilichonishangaza nikaja nikapata taarifa kuwa yule msichana anatoka na ka sharobaro kamoja wanasoma nako huko chuoni kwao kutokana niko busy nilikosa mda wakulifatilia hilo, sikuamini tuhuma hizo,lakini haikupita tena mda mrefu kuna kijana akaja akaniambia kuwa msichana wangu anatoka na kijana mmoja hivi nae ni sharobaro wa mtaani tu na hilo siku lifuatilia pia kutokana niko busy sana kutafuta pesa.

Imepita takribani mwaka mmoja na kitu yule binti sijawahi kufanya mapenzi naye hata siku mmoja, tangu tumekuwa katika mahusiano swala la kufanya mapenzi na mmi amekuwa akilikwepa kila Mara, huwa hakosi sababu, ila mmi nimekuwa nikimhudumia tu kama mpenzi wangu kwa kuamini kuwa yeye hapendi mapenzi kabla ya ndoa, na mimi nilikuwa tayari kumvumilia mpaka ndoa kwa sababu na mapenzi ya dhati kwake.

Mwaka huu amemaliza chuo,akaniambia nimsaidie kutafuta Kazi, kwa vile mmi hapa mjini nafahamiana na watu wengi sana ambao ni ma boss wa makampuni mbalimbali, kutokana na biashara nazo zifanya, nikampigia Simu rafiki yangu mmoja ambaye ni HR wa kampuni mmoja kubwa hapa Nchini,nikamuomba anisaidie kutafuta nafasi ya kazi hapo ofisini kwake,ili niweze kumsaidia yule msichana kupata kazi,yule HR alinihakikishia atampatia kazi yule binti ila aliniomba nimpe mda kidogo alifanyie Kazi swala langu.

Tukirudi upande wa pili wa huyu binti pamoja na jitahada zangu zote nazo zifanya juu yake nakumuonyesha. Jinsi gani nampenda lakini yeye bado hanijali, hanionyeshi mapenzi ya aina yoyote huwa ananikumbuka tu Pindi akiwa na shida,lakini ukishamsaidia tu hakutafuti mpaka nimtafute mwenyewe.

Sasa mwaka huu pia nimepata taarifa kuwa huyo msichana kuna kijana mmoja anatoka nae,ikanibidi nifatilie tuhuma hizo nikagundua ni kweli, ila kilichonishangaza kijana mwenyewe anayetokanae hana mbele wala nyuma ni kijana wa mtaani tu kula kulala tu, nilishangaa sana tangu nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi sijawahi kufanya nae mapenzi hata siku mmoja kwa sababu alikuwa anakataa na kulikwepa swala hilo niliamini pengine haniamini labda anataka mpaka tuoane kumbe sivyo,mwezangu alikuwa anagawa kwa vijana wa mtaani tena buree! Hawagharamikii chochote.

Mwaka huu Mungu amenijalia nimepata faida kubwa katika biashara zangu, nimepata million zaidi ya 50, nilikuwa nimepanga nimpatie million 20 ili afanye biashara ambayo anaipenda endapo kama angekubali kufunga ndoa na mimi, ilitiujenge familia,lakini kutokana na Ujinga wake mwenyewe na kunichukulia mmi zoba,swala la kumtafutia Kazi kule ili afanye kabla hatuja funga ndoa nimelifuta na swala la kumuoa nimelifuta,lakini nashukuru pia nimeweza kuwa nae huyu binti katika mahusiano kwa muda wote huo alikuwa hajui minafanya kazi gani na alikuwa hajui Mali zangu,niliamua kumficha hivyo maksudi ili nije ni msuprize siku tutakapofunga Ndoa,ila nilichojifunza mwanamke kama hakupendi hakupendi tu hata umpe nni?,hawezi kuku penda!

Jambo jingine nilichojifunza wanawake wanaongozwa sana na (Emotional) katika mapenzi kuliko (logic),kwa nni nasema Hivyo?, (logical)mimi ndio mwanaume niliyekuwa nampenda kwa dhati huyo msichana lakini, (Emotional) yeye hisia zake zilikuwa zinawapenda hao vijana masharobaro wa mtaani ambao hawa msaidii kwa chochote!

Nawashauri wanaume wenzagu tuwe makini sana na hao wanawake tuli waoa au tunaotaka kuwaoa lazima tuhakikishe wanakupenda Kweli sio kutu laghai, binafsi nakiri kabisa ule usemi wa Rafiki Yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba"ni rahisi kutafuta pesa ukaipata kuliko kupata mwanamke anayekupenda kwa dhati",kuanzia Leo sina imani tena na mwanamke,mimi ni mpole mstaraabu lakini huyu mwanamke alichonifanyia nimeamini wanawake hawapendi "Nice guy" ila wanapenda "Bad boy" halafu baadae huwa wanakuja kulalamika wanaume wabaya!,kumbe wao ndio wanaotafuta wanaume wabaya!
 
Last edited by a moderator:
Na wasichana wengi wana amini ukitoka na mbongo fleva basi utakuwa mdada wa mjini na hatimaye mapedeshee watakutamani na kukuonga. Usiwatilie sana maanani wanawake kwani utalostika!
 
Habari, wana jf,natumaini mko poa!,kuna jambo ambalo nimejifunza katika mahusiano ya kimapenzi, nimeona ni vyema tukajadili wote kwa pamoja,mmi binafsi napenda sana mapenzi ya dhati na ya kweli!,kuna msichana mmoja nilimpenda sana,na nilipenda huko mbeleni pengine aje kuwa mke wangu, huyo Binti amemaliza Diploma chuo kimoja hapa Daressalaam mwaka huu, kwa Mara ya kwanza yule binti nilimtongoza mwaka Jana alikuwa bado anasoma chuo akanikubalia lakini cha kushangaza matendo yake yalikuwa hayaonyeshi kama Ana Upendo na mmi,alikuwa hanipigii Simu wala kunitumia sms mpaka nimuanze mmi hata kama Ana credit utamuona Ana chati tu online,na siku akini beep ujue anashida anataka nimtumie pesa,niki mwambia basi tutoke out tuka pumzimke somewhere labda lodge au hotelini hataki,yeye anataka muende bar au restaurant mkale kuku chips yai na vinywaji mkimaliza kila mtu aondoke kivyake,binafsi nilimvumilia nikajua labda yeye hapendi mapenzi kabla ya ndoa,lakini kilichonishangaza nikaja nikapata taarifa kuwa yule msichana anatoka na ka sharobaro kamoja wanasoma nako huko chuoni kwao kutokana Niko busy nilikosa mda wakulifatilia hilo,sikuamini tuhuma hizo,lakini haikupita tena mda mrefu kuna kijana akaja akaniambia kuwa demu wangu anatoka na kijana mmoja hivi nae ni sharobaro wa mtaani tu,na hilo siku lifuatilia pia kutokana Niko busy sana kutafuta pesa,imepita takribani mwaka mmoja na kitu yule binti sijawahi kufanya mapenzi naye hata siku mmoja,tangu tumekuwa katika mahusiano swala la kufanya mapenzi na mmi amekuwa akilikwepa kila Mara,huwa hakosi sababu,ila mmi nimekuwa nikimhudumia tu kama mpenzi wangu kwa kuamini kuwa yeye hapendi mapenzi kabla ya ndoa,na mmi nilikuwa tayari kumvumilia mpaka ndoa kwa sababu na mapenzi ya dhati kwake,mwaka huu amemaliza chuo,akaniambia nimsaidie kutafuta Kazi,kwa vile mmi hapa mjini nafahamiana na watu wengi sana ambao ni ma boss wa makampuni mbalimbali, kutokana na biashara nazo zifanya,nikampigia Simu rafiki yangu mmoja ambaye ni HR wa kampuni mmoja kubwa hapa Nchini,nikamuomba anisaidie kutafuta nafasi ya Kazi hapo ofisini kwake,ili niweze kumsaidia yule msichana kupata Kazi,yule HR alinihakikishia atampatia kazi yule binti ila aliniomba nimpe mda kidogo alifanyie Kazi swala langu,tukirudi upande wa pili wa huyu binti pamoja na jitahada zangu zote nazo zifanya juu yake nakumuonyesha. Jinsi gani nampenda lakini yeye bado hanijali,hanionyeshi mapenzi ya aina yoyote huwa ananikumbuka tu Pindi akiwa na shida,lakini ukishamsaidia tu hakutafuti mpaka nimtafute mwenyewe, sasa mwaka huu pia nimepata taarifa kuwa huyo msichana kuna kijana mmoja anatoka nae,ikanibidi nifatilie tuhuma hizo nikagundua ni kweli, ila kilichonishangaza kijana mwenyewe anayetokanae hana mbele wala nyuma ni kijana wa mtaani tu kula kulala tu,nilishangaa sana tangu nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi sijawahi kufanya nae mapenzi hata siku mmoja kwa sababu alikuwa anakataa na kulikwepa swala hilo niliamini pengine haniamini labda anataka mpaka tuoane kumbe sivyo,mwezangu alikuwa anagawa kwa vijana wa mtaani tena buree! Hawagharamikii chochote, mwaka huu mungu amenijalia nimepata faida kubwa katika biashara zangu, nimepata million zaidi ya 50,nilikuwa nimepanga nimpatie million 20 ili afanye biashara ambayo anaipenda endapo kama angekubali kufunga ndoa na mmi,ilitiujenge familia,lakini kutokana na Ujinga wake mwenyewe na kunichukulia mmi zoba,swala la kumtafutia Kazi kule ili afanye kabla hatuja funga ndoa nimelifuta na swala la kumuoa nimelifuta,lakini nashukuru pia nimeweza kuwa nae huyu binti katika mahusiano kwa muda wote huo alikuwa hajui minafanya kazi gani na alikuwa hajui Mali zangu,niliamua kumficha hivyo maksudi ili nije ni msuprize siku tutakapofunga Ndoa,ila nilichojifunza mwanamke kama hakupendi hakupendi tu hata umpe nni?,hawezi kuku penda!,jambo jingine nilichojifunza wanawake wanaongozwa sana na (Emotional) katika mapenzi kuliko (logic),kwa nni nasema Hivyo?, (logical)mmi ndio mwanaume niliyekuwa nampenda kwa dhati huyo msichana lakini, (Emotional) yeye hisia zake zilikuwa zinawapenda hao vijana masharobaro wa mtaani ambao hawa msaidii kwa chochote!,Nawashauri wanaume wenzagu tuwe makini sana na hao wanawake tuli waoa au tunaotaka kuwaoa lazima tuhakikishe wanakupenda Kweli sio kutu laghai,Binafsi nakiri kabisa ule usemi wa Rafiki Yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba"ni rahisi kutafuta pesa ukaipata kuliko kupata mwanamke anayekupenda kwa dhati",kuanzia Leo sina imani tena na mwanamke,mmi ni mpole mstaraabu lakini huyu mwanamke alichonifanyia nimeamini wanawake hawapendi "Nice guy" ila wanapenda "Bad boy" halafu baadae huwa wanakuja kulalamika wanaume wabaya!,kumbe wao ndio wanaotafuta wanaume wabaya!


Yani humu jamii forum kuna majinuni sana

Kwanza story yako ya kutudanganya maana huo ni uongo uliokubuhu unamgharamikia demu bila kukupa papuchi si bora ungekua unapiga nyeto

Pili wewe sidhani kama hata milioni 1 ulishawahi kuishika , umeitaja milioni 50kama elfu 5 hahahahaa hahahaha

Vere interesting
 
Nina waswas na Elimu yako, kama umehudhuria darasan basi ni ile ya kuunga unga, na kama umeunga unga lazima IQ yako inashida either kwenye Hind brain or front brain. (Yaani ni kama zoba flani hivi).

Anyway labda umri pia.
 
Ujue kila mtu anamlalamikia mwenzake kuwa ni mbaya naamaanisha kati ya wanawake na mwanaume cha msingi kama ulikuwa kipofu kwenye lile penzi sasa jifunze endelea na maisha tafuta mwingine utapata aliye mwema kaka ukisema unaimani nisawa sawa huko kwenye biashara uliyotarajia utapata hela ikakata mtaji. Hutoacha bali utaagalia njia nyingine usife moyo ww tafuta ndio maana unaambiwa, kila shetani na mmbuyu wake.
 
Pole nadhani sasa utakua umeamka toka gizani hawa viumbe c wa kuwaamini wala kuwapa thamani kiasi hicho hawafai
 
Ujue kila mtu anamlalamikia mwenzake kuwa ni mbaya naamaanisha kati ya wanawake na mwanaume cha msingi kama ulikuwa kipofu kwenye lile penzi sasa jifunze endelea na maisha tafuta mwingine utapata aliye mwema kaka ukisema unaimani nisawa sawa huko kwenye biashara uliyotarajia utapata hela ikakata mtaji. Hutoacha bali utaagalia njia nyingine usife moyo ww tafuta ndio maana unaambiwa, kila shetani na mmbuyu wake.
Mh!!!
 
POLE ILA NIPE MIMI MILIONI YOTE HAMSINI HALAFU TUANZE MICHAKATO YA NDOA... YANI MPAKA MWEZI WA KUMI NA MBILI MWAKANI TAREHE 22 TUTAKUWA TUNANDOA ... SITAKUDANGANYA
 
POLE ILA NIPE MIMI MILIONI YOTE HAMSINI HALAFU TUANZE MICHAKATO YA NDOA... YANI MPAKA MWEZI WA KUMI NA MBILI MWAKANI TAREHE 22 TUTAKUWA TUNANDOA ... SITAKUDANGANYA
Chagga kwenye pesa........!!! Hawezi kukuamini!!!!!
 
Kwanza acha uongo, then nina wasiwasi na umri wako. Mwandiko wako tu ni shida, eti faida ya milioni hamsini, hamna kitu,
 
Back
Top Bottom