Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaume mlooa jueni kuzihendo ndoa zenu nyie ndio mmekua chanzo cha kuharibu watoto wetu mnaturudia usiku mkiwa mmelewa, mnatutukana mbele ya watoto mnatupiga nk, mtoto hujifunza baya na zuri...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Heri ya X mass wadau wa jukwaa pendwa la MMU.Tarehe 20 ya mwezi huu nlileta mada hapa jamvin ambayo ni hii Niko njia panda...
3 Reactions
132 Replies
14K Views
Habari wakuu.. Kuna mdada mmoja humu ndani bhana alinikosha sana na comment yake moja kweny thread flani hivi mwaka 2015. Alicomment hivi... "dushe mkononi.. Papuchi kwa jirani" Dah.. huyu dada...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Happy new year MMU ladies and gentlemen. On my side I give Glory to God for keeping me safe and sound to this 2016..... hopes you too..... Kasie this time alizongwa dakika za mwisho kabla...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu Mimi nina kaka yangu(sio wadamu) .sasa huyu kaka yangu ameoa tena anasema mke wake alimfukuzia for 3 years kabla ya kukubali na kumuoa tena alimkuta bikra na anampenda sana. Sasa...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
UKIIBA KITU HIKI UTABAKI NACHO MILELE Ukiiba fedha huwezi kubaki nazo milele, ipo siku utakamatwa kwa wizi wako na hata usipokamatwa basi utazitumia na zitaisha. Ukiiba uongozi hutakaa nao milele...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mambo madogo yavunjayo ndoa. 1. Ulevi 2. Umbea 3. Pedi chafu kutupa uvunguni 4. Umaskini 5. Uvivu 6. Ulafi 7. Wizi 8. Kujamba mbele ya mpenzi wako 9. Kunya bila kufunga mlango (self...
2 Reactions
48 Replies
9K Views
Habari za leo wapendwa! Naombeni mawazo yenu juu ya hili swala lilikuwa Dogo sasa naona limekuwa tatizo kwangu, Nina mke na tuna mototo mmoja mototo wetu ana miaka miwili kasoro sasa! Tatizo...
4 Reactions
110 Replies
19K Views
kuna mtu anahitaji msaada wangu na nahisi siwezi kumshauri vizuri sana kutokana na itikadi zangu dhidi ya wanaume. Huyu dada kanijia, alikuwa na mpenzi wake wamekaa wote kwa miaka 2 na walikuwa...
0 Reactions
73 Replies
10K Views
Wakuu naomba kuuliza, kugegeda na kupiga bao moja kila siku au kila baada ya siku moja, na kugegeda ukapiga bao tatu au tano ikisha ukakaa wiki au mwezi ndo ukagegeda tena, kiafya ipi bora hususan...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ulikuwa hujui sasa wajua...! Bata unaeishi naye nyumbani, ana matundu si chini ya matano (5 holes) ndani ya uke (papuchi). Lengo ni kuepusha kupata mimba ikiwa: 1. Ataingiliwa kimapenzi kwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wote tunafanya yaleyale ya kila siku katika maisha. Ukiacha suala la hedhi na kuzaa kwa mwanamke, mengine mengi tuko sawa tu. Sasa najiuliza inakuwaje mwanamke anashindikana kusomeka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimie ni binti wa miaka 23, mpenzi wangu ana umri wa miaka 35, wote ni waajiriwa Halmashauri mwanzoni mwa mwaka huu, tulianza mahusiano mwanzoni mwa mwezi wa 8,malengo yangu ni kujiendeleza...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Natafuta Mwanamke tutakaye anzisha mapenzi, Umri: kuanzi 25 hadi 35. Unakaribishwa PM.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji rafiki wa kike umri 23 mpaka 35. awe mwelewe. kwa aliye tayari ani PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mwanamke wa kiislamu,asiwe muislamu jina aliye tayari kuolewa kama mke wa pili umri wake usizidi miaka 28,aliye tayar ani PM
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Km ndio weka namba yako hapa nikuunganishe kwenye group la Whats Up liitwalo"Kagera is my Home"
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sometimes wanawake huwa wanajiuliza maswali mengi, wafanyeje ili wapendwe,wanahisi wana bahati mbaya,kila wanapojitoa mioyo yao inaumizwa.Jamaa hawakai,wanatupia kitu,wanakula mzigo wanatembea na...
10 Reactions
76 Replies
24K Views
Napata shida kidogo nina mpenzi wangu tulitokea kupendana sana lengo hasa ilikuwa ni kuoana tuliishi kwa furaha sana tunachat na tulikuwa tunapigiana simu sana tulidumu kwa karibu mwaka 1 ivi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Back
Top Bottom