Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,373
Msichana mzuri amepumzika akipunga upepo
Joto limezidi sijui
Mh......
Khe......
Ohooooo.......
Duh kuna njemba anakula chabo
Binti ameanza kuondoka.. Jamaa kaona sio tabu ngoja amuonganishie
Jamaa kaamua liwalo na liwe bora ijulikane tu moja..... Binti anashangaaa
Ha! Kumbe huyu binti ni jini aisee
Jamaa matatizoni
Copy from some where
My take: sio kila king'aacho ni dhahabu
Usikurupuke