kenshi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,976
- 1,967
Habarini wa ndugu.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu hasahasa kwenye mvuto wa mtu na mtu kwenye swala la mapenzi.
Nitazungumzia upande wa mwanaume kuvutiwa na mwanamke kwamba ni sanaa aliyo nayo mwanamke.
Sanaa hii ni ile hali aliyo nayo mwanamke mfano jinsi anavyo ringa, anavyoongea anavyocheka anavyo tembea hata anavyo kaa kimapozi kuna vitu vingi sana kila mwanaume anajua anachanganyikiwa na sanaa ipi.
Sasa siku izi wadada wengi hawajitambui, wamepanic hawajiamini wamemkimbilia mchina na madikodiko yake hatimae wameharibu maumbo yao mazuri yaliyokuwa na UWIANO mzuri ( waist to hips ratio ) uliosanifiwa na MUNGU.
Nimemuona mdada mmoja hapa jinsi anavyo jutia kutumia dawa za kichina mpaka anatia huruma
ni hayo tu ya kufungia mwaka.
'When GOD was build a woman everything build to her, skills, ideas, wisdom.
Last edited by a moderator: