HUU NI UONEZI KABISA KWA WANAUME.......!!!

cantonna

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,120
439
Mi huwa nashangaa sana yaani pale linapotokea fumanizi labda umekutwa na mke wa mtu gesti, watu wamezoea kumtoza faini mwanaume aliyekamatwa..... Lakini pale mwanamke anapogumaniwa na mume wa mtu sijawahi ona amelipishwa faini.... Sijui ni kwanini na wakati mwanaume skigumaniwa na mke wa mtu faini kama kawa why? Na hivi kesi za kufumaniwa mahakamani huwa zinasikilizwa kweli? Na kama huwa zinasikilizwa kuna anayefugwa kweli masna hawa waliofumaniwa wote ni watu wazima ina maana wamekubaliana, so kama kulipa faini basi wate wafumaniwa walipe na siyo mwanaume peke yake muda mwingine wake zenu wanatutafuta wenyewe..... So ukinikuta na mkeo anzakwanza kumpiga faini yeye na diyo mimi....
Mi nimepewa tu na mkeo nikionje na wala sikimalizi, hspa wanaume wenzangu timaoneana kabisa, mambo ya kupigana faini pale tunapo fumaniana acheni, muwatimizir mahitaji yote wakr zenu ili wasitufuatefuate sisi!! Habari nfo hiyo. #2016
 
The way umeandika kwa uchungu,
Ni wazi kuna jambo umetendewa zaidi ya kupigwa faini,

Pouleee ndio dunia.
 
Huu unakuwa mchongo kwani wanaume wengi wa mjini wanapanga na wake zao wawafumanie ili wapate kitu kidogo. Mimi kuna demu nilimtongozaga na aliponikubalia aliniambia nisitokee gesti kwani mumewe ndiye anayemtuma. Huyu demu (mke wa mtu) alikuwa anapenda sana kujipitisha pale Breakpoint ya mjini mida ya lunch. Ni mrefu wa futi 5'8" na maybe yuko under 35 kuja in her mid 20's. Ni mzuri na mtanashati, akijaga pale Breakpoint alikuwa anapenda kukaa karibu na mlangoni peke yake akiperuzi simu. Alikuwa anapenda sana kuwakodolea wanaume macho, akihisi umemuona anatabasamu na kukutega. Namshukuru kwa kunilinda and I wish ningemuona tena nimpe offer tu na kuwa rafiki yangu. Amenisaidia sana kwa kuwa mkweli upfront!
 
kwanza kabla hujalalamika unatakiwa useme na akili yako na mawazo machafu kuwa kwanini umefikia hapo hadi kutembea na wake za watu.......hayo unayoyalalamikia ni matokeo ya yale ambayo hukuyafikiria kwanza kabla ya kuyatenda......mwanadamu amepewa fikra na uwezo wa kuyachnaganua mambo kabla ya kuytenda......mwanadamu amepewa utambuzi wa baya na jema......
Ifkie wakati wanadamu tuache kuenenda kama wanyama wa mwituni......tutambue thamani ya wale tuliowaahdi kuwa ni kifo tu kitakacho tutenganisa....
 
Watu wabaya sana, siamini km kelele zote hizi ni faini tu, lazima kuna kitu kingine
 
mkuu mara nyingi mwanaume ndo huwa anaanza kumshawishi mwanamke, si rahisi kwa mwanamke kuwa na kifua cha hadi kukupeleka hotelin yaani ujasiri huo niwachache wanao ila wengi wao ni hadi mwanaume amfate na ye mwanaume ndo atapanga siku na sehemu ya kwenda. hivyo ktk fumanizi lolote mwanaume huwajibishwa kwa mtazamo kuwa ye ndo mwalinzishi wa kila kitu kuanzia kumtongoza huyo mke wa mtu hadi kumpeleka hotelin. wanawake huwaona wanaume huwapenda ila huishia ktk ishara tu kama mwanaume asipoini hizo ishara na kujiongeza basi hamna kitakachoendelea ingawa wapo wanawake wanaowafata wanaume ila kwa tamaduni za africa na hasa tz ni wachache sana labda hawa wa kikazi cha .com
 
Back
Top Bottom