vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 420
Kumekuwepo na hisia za wanaume baadhi kuwa si kila mwanamke mwanaume anaweza kumpata Mimi nakuambia hakuna mwanamke dunian hata kama ni mke wa Obama asiyekuwa na udhaifu mbele ya mwanaume nitataja vitu kumi kila mwanamke anavyo au kavipitia vikitumiwa vizuri mwanamke hana ujanja kwa mwanaume wa aina yoyote
1.Haiba ya aibu kwa mwanamke
2.Tendo la kuingia period kila mwezi
3.Huruma
4.Kupenda kusifiwa
5.Tendo la mwanamke kwenda haja kubwa
6.Wivu
7.Kupenda kuongozwa kihisia
8.Mwanamke kutoa uchi wake si tendo la kujutia ni kama la shukrani
9.Tabia yakutafuta ulinganifu na wanawake wenzake
10.Tabia ya kutaka kujaribu tofauti ktk mapenzi nitakuja na Maelezo ya kila kimoja endelea kufuatilia utafiti huu wa miaka zaidi ya 28