mtumwa wa mungu
Member
- Dec 27, 2014
- 38
- 3
habarini za saizi wapendwa jamani eti kichwa kuuma na mwili kuuma mara baada ya siku moja baada ya ku do ni dalili za ujauzito au ni kuchoka tu mana naona ni mapema sana wenzangu mnao elewa mnisaidie, heshima kwenu.