Ninavyoshukuru Kwa 2015

La Princesa

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
1,049
1,160
Hi guys...Haki ya Mungu Asanteni Sana Kwa Kuwa Party Of Me Kwa Mwaka 2015,I swear you guys are the BEST..Mmekuwa sababu mojawapo ya TABASAMU Usoni Kwangu....

Anyways Naanza kama Ifuatavyo,Nimeona si Vyema Hu Mwaka Upite Bila Mimi Kumshukuru Mungu Kwa Mambo Makubwa Na Ya Ajabu Aliyoyatenda Kwangu Has a Kimahusiano,Niliwahi Kuwa In Relationship Na One Bastard Guy,Nilimpenda Sana Even Mbingu Inajua,I gave him everything Mpaka Kumzalia Juu(Sikuzaa ili Kumkeep,Ilihappen on the run and I had to kip my baby) Uwiiii,Sema Mungu Fundi alituficha kujua/kuona/kutabiri mambo yajayo,Nikiwa University jamaa alianza mambo ya ajabu,Hapo Home Hawanisupport Anyhow financially Coz mimba ilikuwa ni big dissapointment kwao...Niliteseka jamani,my mind hard to work two times more than m y age...Nikiwa na 4 months preggy,officially tulibreak up an baby dad...Sijawahi kuwa kwenye stress Kama hivi,Huku Chuo Masomo Yananitizama,Huku Baby dad ananistress Huku Pesa Sina,Plus Family Kunitenga,You Can Imagine,Nikiri Tu,Nilikuwa na Relationship nzuri na Mungu,Ila That Pregg Ilinikip Karibu zaidi na Mungu Wangu...He Was My Everything, My Mom,Mentor,Bff,boyfriend, Baby's dad etc.....

Mungu ni Mwema Alijibu Maombi,Muda Wa Kujifungua Ulipofika my mom alijawa huruma,she was there mpaka najifungua my very beautiful baby girl... To cut short the story,Taratibu nilianza kuzoea na nilianza kufanya biashara ndogondogo(Mtaji Boom Langu) niliweza kusavaivu with my child na Dada Wa kazi...

Like jamaa bwana so likapta mchumba?within 3 months likamaliza procedures zote and ndani ya miezi 6 walifunga ndoa,Nimekaa Home j2 naangalia Chereko TBC Si nikaliona?Limefanya Harusi ya Kufuru Wakati Kumsapoti Mtoto Hats Kwa 100k haliwezi

Jamani Story ni Ndefu and natumia simu baadae kidogo ntamalizia kuwaonesha kuwa Mungu Yupo na Hutenda Mambo Makuu na ya Ajabu katika Maisha Yetu...

MUENDELEZO...

Jinsi Mungu alivyo mwema na Wa Ajabu,Nilikutana na This Wonderful Guy ambaye Sikuregret hata siku moja kumfanya kuwa rafiki yangu,Tulikuwa Marafiki Wazuri and Mwishowe Urafiki Wetu Ulizaa Mapenzi,Nampenda Sana Na Namshukuru Mungu Kwa Ajili Take,Ninavyoandika Hapa,Tunatarajia Kufunga Ndoa Mapema Tarehe 9 January...Baby Kama Uko Humu,Tambua Nakupenda Sana,Zaidi Ya Neno Nakupenda,Nimejifunza,Wakati Mwingine Huwa Tunalia Bila Kujua Kuwa Mungu Katuandalia Kitu Chema Zaidi..

ADUI MUOMBEE NJAA

Binafsi Niko Vice versa, Mimi Adui Namuombea Shibe Ili Azidi Kushuhudia Baraka Zangu...Nilivyosikia ni kuwa Baby Daddy Anapelekeshwa Sana na mwanamke aliuemuoa,Kawavuruga ndugu hawaelewani,Ninaolewana nao kwenye familia wananiambia Jamaa anatamani siku zirudi nyuma ili Animiliki but he's too late..

Nilimlilia Mungu Anisaidie Nipate Kazi na Wallah Namshukuru Kwa Sababu Amenipatia Kazi Nzuri Kuliko Nilivyokuwa Nikifikiri,NINA FURAHA,NAMPENDA YESU,FADHILI ZAKE NI ZA MILELE...Karibuni trh 9 kushuhudia nikila kiapo cha milele cha NDOA TAKATIFU..

TO ALL SINGLE MOMS...

Furaha Yako Iko Mikononi Mwako...Mungu Awe Moja,Mbili na Tatu yako..MBARIKIWE
 
Last edited:
Siku hizi mnapenda kuja na vijistori vyenye 'episode' kibao
Halafu lugha yenyewe mseto....ila nasubiri muendelezo
 
Last edited:
Namna hii ya maandishi yako yalivyo kama ndivyo unavyozungumza pia yaonesha utakuwa bonge la duuuuu!!...unaboa kwa kweli.
Ulimbukeni ukikuisha uamue kutumia moja kati ya lugha ulizochanganya kwa ufasaha.
 
Oyaa ebu nidokeze aisee
Mkuu unajua watu wanahitaji kuweka ndani mke siyo mwanamke....sasa kwa kuangalia tu namna anavyoongea kupitia maandishi tayar majibu yashapatikana...wala jamaa siyo wakumlaumu hata kidgo...alikuwa ana haki yakufanya maamuzi aliyoyafanya...
 
Hi guys...Haki ya Mungu Asanteni Sana Kwa Kuwa Party Of Me Kwa Mwaka 2015,I swear you guys are the BEST..Mmekuwa sababu mojawapo ya TABASAMU Usoni Kwangu....

Anyways Naanza kama Ifuatavyo,Nimeona si Vyema Hu Mwaka Upite Bila Mimi Kumshukuru Mungu Kwa Mambo Makubwa Na Ya Ajabu Aliyoyatenda Kwangu Has a Kimahusiano,Niliwahi Kuwa In Relationship Na One Bastard Guy,Nilimpenda Sana Even Mbingu Inajua,I gave him everything Mpaka Kumzalia Juu(Sikuzaa ili Kumkeep,Ilihappen on the run and I had to kip my baby) Uwiiii,Sema Mungu Fundi alituficha kujua/kuona/kutabiri mambo yajayo,Nikiwa University jamaa alianza mambo ya ajabu,Hapo Home Hawanisupport Anyhow financially Coz mimba ilikuwa ni big dissapointment kwao...Niliteseka jamani,my mind hard to work two times more than m y age...Nikiwa na 4 months preggy,officially tulibreak up an baby dad...Sijawahi kuwa kwenye stress Kama hivi,Huku Chuo Masomo Yananitizama,Huku Baby dad ananistress Huku Pesa Sina,Plus Family Kunitenga,You Can Imagine,Nikiri Tu,Nilikuwa na Relationship nzuri na Mungu,Ila That Pregg Ilinikip Karibu zaidi na Mungu Wangu...He Was My Everything, My Mom,Mentor,Bff,boyfriend, Baby's dad etc.....

Mungu ni Mwema Alijibu Maombi,Muda Wa Kujifungua Ulipofika my mom alijawa huruma,she was there mpaka najifungua my very beautiful baby girl... To cut short the story,Taratibu nilianza kuzoea na nilianza kufanya biashara ndogondogo(Mtaji Boom Langu) niliweza kusavaivu with my child na Dada Wa kazi...

Like jamaa bwana so likapta mchumba?within 3 months likamaliza procedures zote and ndani ya miezi 6 walifunga ndoa,Nimekaa Home j2 naangalia Chereko TBC Si nikaliona?Limefanya Harusi ya Kufuru Wakati Kumsapoti Mtoto Hats Kwa 100k haliwezi

Jamani Story ni Ndefu and natumia simu baadae kidogo ntamalizia kuwaonesha kuwa Mungu Yupo na Hutenda Mambo Makuu na ya Ajabu katika Maisha Yetu...

MUENDELEZO...

Jinsi Mungu alivyo mwema na Wa Ajabu,Nilikutana na This Wonderful Guy ambaye Sikuregret hata siku moja kumfanya kuwa rafiki yangu,Tulikuwa Marafiki Wazuri and Mwishowe Urafiki Wetu Ulizaa Mapenzi,Nampenda Sana Na Namshukuru Mungu Kwa Ajili Take,Ninavyoandika Hapa,Tunatarajia Kufunga Ndoa Mapema Tarehe 9 January...Baby Kama Uko Humu,Tambua Nakupenda Sana,Zaidi Ya Neno Nakupenda,Nimejifunza,Wakati Mwingine Huwa Tunalia Bila Kujua Kuwa Mungu Katuandalia Kitu Chema Zaidi..

ADUI MUOMBEE NJAA

Binafsi Niko Vice versa, Mimi Adui Namuombea Shibe Ili Azidi Kushuhudia Baraka Zangu...Nilivyosikia ni kuwa Baby Daddy Anapelekeshwa Sana na mwanamke aliuemuoa,Kawavuruga ndugu hawaelewani,Ninaolewana nao kwenye familia wananiambia Jamaa anatamani siku zirudi nyuma ili Animiliki but he's too late..

Nilimlilia Mungu Anisaidie Nipate Kazi na Wallah Namshukuru Kwa Sababu Amenipatia Kazi Nzuri Kuliko Nilivyokuwa Nikifikiri,NINA FURAHA,NAMPENDA YESU,FADHILI ZAKE NI ZA MILELE...Karibuni trh 9 kushuhudia nikila kiapo cha milele cha NDOA TAKATIFU..

TO ALL SINGLE MOMS...

Furaha Yako Iko Mikononi Mwako...Mungu Awe Moja,Mbili na Tatu yako..MBARIKIWE
Hii ingekuwa audio nahisi wangesema mbona inafanana na JE UTANIPENDA YA Dogo Diamond..
Anyways hongera kwa kuwatia moyo wanawake wenzio
 
Nakupongeza pia.....

Ila hujavuka mto bado. Leta ushuhuda baada ya miaka miwili au mitatu. Kumuongelea mwenzako anapelekeshwa wakati wewe hujaingia hata sio sawa.

Anyway all the best!!
 
1 Samuel 7 : 12 Ndipo Samuel Akatwaa Jiwe Akalisimamisha Kati Ya Mispa Na Sheni Akaliita Jina Lake Eben ~ ezeri Akisema Hata Sasa Bwana Ametusaidia
 
Amen...nauona mkono Wa Mungu hakika yeye ni Ebenezer....
 
Nakupongeza pia.....

Ila hujavuka mto bado. Leta ushuhuda baada ya miaka miwili au mitatu. Kumuongelea mwenzako anapelekeshwa wakati wewe hujaingia hata sio sawa.

Anyway all the best!!
Sijamtukana,sijamcheka,na wala sijamaanisha kuwa ndoa yangu itakuwa a perfect marriage,Lengo ni kuonesha jinsi nguvu iliyo ndani yetu inavyotenda kazi
 
Back
Top Bottom