KABLA HUJAFUNGUA MDOMO WAKO , SHIRIKISHA AKILI YAKO
Kabla hujafungua mdomo wako, kwanza shirikisha akili yako.
Kufungua mdomo kabla ya kushirikisha akili ni chanzo kikubwa cha matatizo yako na...
Habari wana jf wenzangu wakibwa na wasalim agemate mambo vipi, leo nimeona nilete uzi mwingine huku! Mimi nauliza je hawa wanaotafuta wachumba, wapenzi, madem pamoja na marafiki hivi mnawapata...
Marafiki ni watu wazuri sana ila ni watu wabaya sana ukikosea katika kuwachagua maana unawezajuta maisha yako yote.Mwanamke mwenzangu ulieolewa sio kila mwanamke ni wa kuwa nae rafiki hasa baada...
Ndugu wanaJF nikiwa katika harakati za kutafuta mchumba katika mkoa wangu wa Mtwara nimebahatika kukutana na mabinti 4 lakini wote tumeshindwana yaani wawili ni tofauti za dini mimi mkristo na wao...
KWANINI WANAUME WENGI NI WAOGA KUOA WANAWAKE WAZURI LAKINI WAKO TAYARI KUWAFANYA WAPENZI WA PEMBENI?
Ni ukweli kwamba wako wanawake wengi sana ambao wanahesabu kuwa ni baraka na jambo la...
Wadau nawasalimu,
Nashukuru kwa ushauri mlionipa jana kwenye habari hii yahttp://www.jamiiforums.com/threads/mke-wangu-hapendi-kuongozana-na-mimi-barabarani.994983/#post-15025211 kwa tatizo...
Nimefanya utafiti mtaani na vyuo vikuu nimegundua kuwa kuna mabinti wengi wanabeba mimba kabla ya ndoa wengi ni mabinti wadogo sana, nikarudi nyuma kidogo ilikuwa ni vigumu kumkuta binti anabeba...
Wadau nawasalimu,
Mtu mmoja humu jamvini katika mkasa wake alitaja kuwa mahusiano yao yana umri wa 3 yrs, watu wakawa wakali wakiuliza 3 yrs yote hiyo mnasubiri nini hasa?
Haya mdau mwingine...
Jamani salama,
Uku tukingoja matokeo nina swali lanitatiza sana. Ndoa ni nini? Kwanini watu uwa wanapendana sana kabla ya ndoa lakini wakisha oana ndani kunakua na ugomvi na chuki?
Je, wakae...
Habari za leo wadau,
Kuna movie ijulikanayo kwa jina la 'Why did I get married too' ni nzuri sana, kwa wale ambao hamjabahati kuiona tafuteni muicheki, kwakweli ni nzuri sana inafundisha...
Habari pipoz,
Hivi inakuwaje maana mie hata sielewi unakuta mtu na mkewe wanaishi na wanawatoto wawili au mmoja. Mke ni mama wa nyumbani na mume ni mtoka asubuhi akapambane na kilicho mbele yake...
Vijana wenzangu unapoamua kuoa mrembo, msomi na binti wa digital, lazima ukubaliane na haya;
1. Wasichana wengi sasa hawajui kupika. Wanajifanya wamechoka nitanunua msosi sana tu, tena usipokaza...
Ubinafsi ni tabia ya kufanya mambo huku ukitanguliza maslahi yako mbele bila kujali mtu uliye karibu naye.
Ni kweli kwamba kujipenda kwanza ndio jambo la msingi lakini tafsiri hiyo haipaswi...
Wasalaam......
Mimi mwanaume mwenye umri wa miaka thelathini (30) nimejiajiri na pia ni mhitimu wa shahada ya kwanza,
lakini hapa naomba kwa aliye tayari yaan mwanamke wa umri wowote ..ana...
MACHOZI
Machozi ni maneno ambayo moyo hauwezi kuyaeleza.Machozi ni hisia kubwa sana inayotolewa na mtu, inaweza kuwa furaha au inaweza kuwa huzuni.Hakikisha unaleta machozi ya furaha kwa watu...
Kila siku naona kilio wanaume wakilia kukosa wanawake wazuri wa kuoa, haina maana wanawake wa kuolewa hawapo, wapo ila wamehodhiwa na mabazazi.
Nuwaombe mabazazi na wengine wote mnaohodhi idadi...
habari zenu wadau,
naamini wengi wenu ni wazima na buheri wa afya kama ukiweza kufika kusoma mada hii.
niende kwenye mada tajwa.
Kumekua na wimbi kubwa la wanandoa wengi kutoka nje ya ndoa zao...
....hili jambo nmekuwa nikilitafakari muda mrefu sana lakin mwisho wa siku naangukia kwenye jibu moja....sitokuwa nakosea sana nikisema MAPENZI & PESA ndo vitu vinavyoiendesha hii dunia ya...
Kwa mdada yeyote aliyejitunza mpaka kufikia umri Wa miaka 23- 26 nampa zawadi ya ndoa bila kujali mrefu, mwembamba, mweupe, mweusi hata kabila haijalishi.
Awe mjasiriamali au kama ana elimu awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.