Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni mtoto mdogo hajavuka 18 sema maisha yamemchapa. Ni mwaka na nusu tangu nimjue ni yule msichana hanaga makao ya kudumu zaidi ya kudandia. Sasa katokea Bwana anataka amuweke ndani walikutana...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Natafuta mchumba wa kike umri 25-30 fani lazima awe mwalimu either secondary, primary, lecturer or tutor. Kwa mawasiliano zaidi ni PM
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimekuwa na jioni ngumu kweli, niliitwa kwenye kikao cha usuluhishi mahali (naomba nisipataje jina) Kilikuwa ni kikao cha wanandoa mwanamke akilalamika kuwa mumewe anamnyima haki yake ya ndoa...
5 Reactions
83 Replies
11K Views
Hivi hili swala la marafiki wa jinsia mbili tofauti kusalimiana kwa kukumbatiana linaonekanaje... Sio mwanzo wa kuanza kutamaniana baada ya hapo, maana lazima vifua vigusane na inapelekea zero...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Wish you luck my sister umpate mwanaume umtakae nimependa the way ulivoandika post yako,u seems u so intelligent i really appricate on you japo sikufahamu..nakuombea upate mume mwema..all the best...
0 Reactions
110 Replies
14K Views
Mwanamke anapendeza na kuvutia zaidi anapokuwa na nywele zake za asili wala sio mawigi. Hiyo ni FACT. Mawigi yanaboa na yanatupunguzia hisia, mfano pale mwanaume unavyozishika au kujaribu...
18 Reactions
729 Replies
72K Views
Leo nikiwa kariakoo nangoja daladala nikamwona binti mmoja shombe kwenye daladala iliyoandikwa ubungo au simu 1000.Basi ili nipate angalia namba nikapanda.kufika jangwani kinda anauliza jamani...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Wadau mmeamkaje, Jana nilikua pahala natazama mpira huku nakunywa bia taratibu, ghafla akatokea rafiki wa msichana wangu alikuja hapo bar kuchukua chakula, aliponiona akaja kunisalimia, baada ya...
8 Reactions
66 Replies
7K Views
Wana JF hamjambo? Kazi yangu kwa mujibu wa job profile yangu ni kuajiri, kufuta kazi, promotions, demotions na kazi zingine zinazohusiana na hizo, hivyo mkasa ninaowapa nimeutoa kwenye...
30 Reactions
122 Replies
22K Views
Hi
Hi
1 Reactions
3 Replies
910 Views
Ndugu zangu hapa jamvini; Kati ya vitu amvayo vinanikera kwa kina dada basi ni kuvaa WIGI na KUJICHUBUA. Yaani katika maisha yangu hakika nimeshindwa kabisa hata kuwa na mahusiano na mwanamke wa...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
MAANA HALISI YA MSAMAHA Msamaha ni pale ambapo mimi naamua kupoteza haki yangu ya kukuumiza wewe kwa kuniumiza mimi. Unaposamehe unaepuka kutengeneza maumivu zaidi. Amua leo kuwasamehe wote...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari zenu Wapendwa wote: Naombeni ushauri wenu tafadhali Nampenzi wangu nampenda sana tena sanaa mahusiano yetu ni mapya na hayana mda mrefu ndio kwanza tuna mwezi mpaka sasa, nilimshawish...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua kuwa mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu na kuweza ku-access mawasiliano yangu yote hasa ya sms tokea mwezi wa 10 mwaka jana 2015 na...
2 Reactions
205 Replies
25K Views
Tendo la ndoa ni kitu cha muhimu sana kuimarisha mahusianao hasa kwa wanandoa, pia hata wapenzi ambao hawajaoana suala la tendo la ngono kwa wengi eso huwa ni la kipaumbele sana. Kuna baadhi ya...
0 Reactions
46 Replies
17K Views
Kama kuna mwana MMU aliyeko Chicago katika jimbo la Illnois nchini Marekani ani PM.Siku tatu zijazo nitakua huko, kuna mambo mawili matatu nataka kumuuliza. Asanteni.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Salaam wakuu... Kwanza namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya siku ya kuiona ijumaa lengo la kuanzisha thread ni kuojiana na hawa watu mimi nawaitaga malimbukeni yaani hawawezi kuishi maisha yao...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Mademu wengine wana lawama...Wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta weee "Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe...
7 Reactions
82 Replies
11K Views
JE KIONGOZI / BOSS WAKO NI BORA? Ili uweze kuwa kiongozi bora na mwenye mafanikio kuna vitu vinne unavyotakiwa kuwa navyo na uweze kuvisimamia. Kwa kujua na kusimamia vitu hivi kutakuwezesha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
MATOKEO MAZURI AU MABAYA YANATEGEMEANA NA MSINGI ULIOWEKA Kama umewahi kuona jengo lolote kubwa, najua ulishaona, ila unapokuta jengo hilo tayari limekamilika, huwezi kujua msingi ni mkubwa kiasi...
1 Reactions
0 Replies
825 Views
Back
Top Bottom