Machozi

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,353
2,229
MACHOZI

Machozi ni maneno ambayo moyo hauwezi kuyaeleza.Machozi ni hisia kubwa sana inayotolewa na mtu, inaweza kuwa furaha au inaweza kuwa huzuni.Hakikisha unaleta machozi ya furaha kwa watu wako wa karibu.

Je, mtu wako wa karibu huwa unamtoa machozi ya aina gani?

Bonyeza like kama niyafuraha. Na kama ni huzuni tuambie kwanini?
 
Mipango ya Mungu... Kuna siku mbaya na kuna siku njema..!! Sina dhamana na hisia za mtu !!!
Acha kumsingizia Mungu hana mipango mibaya na wanadamu. imekua desturi ni mipango ya Mungu. sasa kama changudoa au mwizi ni mipango ya Mungu. Dhambi ingekua ya nini wakati mipangovya Mungu hakuna wa kuzuia? Amkeniiii.
 
Mimi huwa namtoa machozi ya furaha, ila yeye ananitoa machozi ya huzuni maana nikishika simu yake naumia hapo hapo.
 
Mambo ya machozi hasa kwenye mapenzi ni wizi mtupu sijawahi na sitegemei kupunguza maji yangu mwilini kwaajili ya hawa wanawake wa suku hizi Let them come and go for freee
 
Acha kumsingizia Mungu hana mipango mibaya na wanadamu. imekua desturi ni mipango ya Mungu. sasa kama changudoa au mwizi ni mipango ya Mungu. Dhambi ingekua ya nini wakati mipangovya Mungu hakuna wa kuzuia? Amkeniiii.
Jiele zaidi .... umekurupuka tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom