KAMA UNA WALAU ROBO YA HIZI SIFA BASI UMEPOTEZA THAMANI YA UTU WAKO
1. Unaisoma hii status ukaipenda. Ukaenda kuibandika kwako bila kutaja mahali ulipoiiba.
2. Unaye mwanamke mzuri, aidha ni...
Ashukuliwe Mungu kwakuwa ni mwingi wa rehema na hutusamehe zambi zetu na kuzifuta na kuzisahau.
Washukuriwe wadada wanaokubali kulea watoto baada ya kukimbiwa na wanaume.Washukuriwe madaktari kwa...
KEEP YOUR PERSONAL THINGS PERSONAL
Ndugu zangu, marafiki zangu, dada zangu , kaka zangu, wadogo zangu
kuna vitu vya kuandika kwenye social media na kutangaza kwa rafiki zako au ndugu zako na...
Rejea kichwa cha post hapo juu,
Ila awe anaishi sehemu moja kati ya hizi kwa sasa Dodoma, Morogoro na Dar au katikati ya maeneo tajwa,kama ni muislamu basi akubali kuwa mristo baadae,tabia njema...
Habari za wakati huu wandugu na majamaa.....
Katika pita pita zangu mjini hapa nimekumbana na vituko vingi sana ambavyo naweza kusema ni vya kawaida sana kwa maisha ya mjini...lakini...
The reason most couples get divorced is not because they get bored with each other. It's because when you're dating, you pretend to be someone you're not.
And there's only so long you can hold...
Mwanamke unapoudhiwa na tabia za mumeo, ongea na mumeo kwa upendo. Andaa mazingira rafiki ya maongezi. Wanawake huwa mnakosea sana kutojua muda na mahari pa kuongelea kero zenu.
Kwa kukosea huko...
unakua mke bora unapomsaidia
mumeo katika malengo yake ya
kimaisha. unampa support wakati
hana kitu mfukoni. wamsaidia kupata
mafanikio. wacha kumkera na mambo
asoyaweza. ridhika na akupacho. mtie...
Nina hamu nimpate mtoto wa kike au wa kiume. Kifupi mimi nimeoa mke wa tatu sasa baada yule wa kwanza kutimuana na wifi zake kwa kisa cha kumfumania na mume wa mmoja kati yao.
Wa pili tuliachana...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kike mwenye umri kati ya miaka 25-30. Ninao ndugu zangu wawili ambao tangu nmekua na kujielewa nimekuwa nikiishi nao, ndugu hao ni mama yangu mzazi na dada yangu...
Natafuta mwanamke mwenye maambukizi ya Virusi vya ukimwi,umri wangu ni miaka 47 tuwasiliane kwa email ifuatayo sekenemboh@gmail.com au tuma sms ktk namba 0715 33 85 27 ahsante!!
Mara nyingi huwa naona post nyingi sana za kuwaponda hawa viumbe lakini kwa kweli kiuhalisia wamekuwa watu wa muhimu katika maendeleo yoyote kwa wanaume, huwa wanatupa suport sana ....nikianza na...
Wadau,
Huu ni uzoefu wangu binafsi, nimegundua kwamba si salama sana kwa wenye ndoa kwenda kunywa kwenye bar ambazo pia zina guest house/lodge.
Kwa sasa bar nyingi unakuta pia kuna guest house...
Napenda kutoa ushauri kwenu wadau,
Kumekuwa na ongezeko la magonjwa haya kwenye jamii. ukimwi umekuwa ukipungua ingawa kwenye baadhi ya mikoa umekuwa ukiongezeka na prevalence iko kwenye 5.1%...
Habari za Jumatatu wanajamvi,
Direct to the topic,Je inawezekana kuwa na mahusiano na mwanamke alienizidi umri wa miaka 5, yani nikitembea nae huwezi kugundua kama tuna date, utahisi tu ni mtu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.