just-imagine
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 374
- 449
....hili jambo nmekuwa nikilitafakari muda mrefu sana lakin mwisho wa siku naangukia kwenye jibu moja....sitokuwa nakosea sana nikisema MAPENZI & PESA ndo vitu vinavyoiendesha hii dunia ya sasa,lakin tukirudi palepale pesa kwa mtoto wa kiume ni muhimu kama uzuri(mvuto) ulivyokuwa muhimu kwa mtoto wa kike....
1)mwanaume ukiwa hauna pesa kujiamini kote kutaisha hata upewe demu mrahisi umtokee utajikuna unabuma...
2)ukipigiwa simu na demu wako kama huna hela unajishtukia kupokea kichizi...
...na hii ndo maana mentality ya vijana wengi ni kusaka pesa kitu ambacho ni kizuri...