Natafuta mke

Ben baba

Member
Dec 31, 2015
69
34
Wasalaam......

Mimi mwanaume mwenye umri wa miaka thelathini (30) nimejiajiri na pia ni mhitimu wa shahada ya kwanza,
lakini hapa naomba kwa aliye tayari yaan mwanamke wa umri wowote ..ana naejua nini maana ya ndoa na mwenye utayari wa kuolewa pia mwenye mapenzi ya dhati anitafute tufanye maisha.

tukutane kwenye hii email nurucris1989@yahoo.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom