Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 411
- 286
Ndugu wanaJF nikiwa katika harakati za kutafuta mchumba katika mkoa wangu wa Mtwara nimebahatika kukutana na mabinti 4 lakini wote tumeshindwana yaani wawili ni tofauti za dini mimi mkristo na wao waislamu na mmoja hataki mimi nimuingilie kukagua simu yake hadi kaniomba tuachane na wa mwisho nilimkamata na mtu mwingine. Hivyo nimeamua bora kuitwa mzinzi kuliko kutengeneza stress za wanawake