Naombeni ushauri wenu,
Ninamchumba pindi niko na job nilimwambia anipeleke kwao alikataa na kunijibu kwamba ni mapema kwa bahati mbaya nimeacha kazi ananiambia hawezi kunipeleka kwao hadi niwe na...
Habari wana jukwaa,
Mimi ni binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 30 na mwaka 2010 wakati niko kwenye maandalizi ya ndoa na aliyekuwa mchumba wangu tuliambiwa tukapime, na ndipo nilikutwa...
Habar zenu wanaJF,
Hapa nilipo mwenzenu namawazo kedekede moja wala kumi na mbili haikai.Mpenzi wangu tuliependana kwa dhati mahusiano yetu yapata miezi 8,tukiishi pamoja kwa furaha japokuwa...
Salaam,
Kabla ya yote, mfano wa simba kuua cubs (watoto wa simba jike) haumaanishi na wewe uue watoto uliomkuta nao huyo mwanamke. Maana yake ni kwamba kuna approach tofauti kuhusu swala hilo kwa...
Habari zenu wadau,
Baada ya kuwa na stress zilizotokana na kutemana na binti ambaye nilimpenda kwa kiasi flani hivi, nikaamua kumtafuta huyo binti ili kupunguza stress na binti hiyana analala na...
MIAKA KUMI IJAYO
NI MICHACHE SANA UTAJIVUNIA NINI?
Miaka kumi ijayo hutajivunia ni kwa haraka kiasi gani ulikuwa unajibu jumbe za simu unazotumiwa, au kupokea kila simu iliyokuwa inapigwa.
Miaka...
Tatizo kubwa duniani linalofanya wengi tushindwe kufanikisha malengo ni kukwepana na fursa, sio kwamba hazipo. Unakuta wewe ukipita njia hii fursa imepita njia nyingine.
Sasa kwa mfano hawa...
There is this young lady, my wife's younger sister whom we have raised since her high level education, last year she concluded her university education
For sometimes now amekua aki go out na...
Habari wanajamvi?
Nimetafakari sana haya mapenzi ya kileo tofauti na baba zetu walikuwa wanafanyia kitandani ila mapenzi ya leo yanafanyikia sehemu mbalimbali. Wengine juu ya kochi, juu ya meza...
Ni hivi: Nimekuwa na matatizo binafsi yanayonisumbua. Sasa mchumba wangu kanishawishi anipeleke kwa mganga (ustaadh) kwamba ana uhakika pale ndo utakuwa mwisho wa matatizo yangu. Huyo mganga...
Usipende kuchonganisha watu ili wewe ubaki kuonekana mzuri kwa pande zote mbili, maneno ya huku wapeleka huku na ya huku wapeleka huku... This is 2016 jaribu kutumia muda mwingi kufanya...
Bila shaka mko vema na mwaendelea vema na majukumu yenu ya hapa na pale. Kwa wagonjwa ama mafadhaiko mbalimbali tunawaombea hali zirudi kua sawa....
Nisiandike mengi sana ya kuwachosha niende...
Si vibaya kwa binti kumgusa gusa bwana wake wawapo kwenye Private ndinga (Gari binafsi). Ni jambo lisilozuilika, lakini lisipofanywa kwa tahadhari, laweza kuwa chanzo cha ajali.
Unakuta Gari iko...
Za sahizi wadau wenzangu,
Moja kwa moja niende kwenye maada husika nitazungumzia maeneo mengine tofauti na bedroom unayoweza ku enjoy sex na kufanya msibore.
1. Jikoni (kitchen counter): Hapa...
Jamani imekomaa hii tabia mdada unakatiza mtaa wa pili na watatu ndani una kipichu tu na umechomekea dera/dira tunatoa fundisho gani kwa jamii hata kama joto sio ustaarabu.Badilikeni.
KABLA HUJAFUNGUA MDOMO WAKO , SHIRIKISHA AKILI YAKO
Kabla hujafungua mdomo wako, kwanza shirikisha akili yako.
Kufungua mdomo kabla ya kushirikisha akili ni chanzo kikubwa cha matatizo yako na...
Habari wana jf wenzangu wakibwa na wasalim agemate mambo vipi, leo nimeona nilete uzi mwingine huku! Mimi nauliza je hawa wanaotafuta wachumba, wapenzi, madem pamoja na marafiki hivi mnawapata...
Marafiki ni watu wazuri sana ila ni watu wabaya sana ukikosea katika kuwachagua maana unawezajuta maisha yako yote.Mwanamke mwenzangu ulieolewa sio kila mwanamke ni wa kuwa nae rafiki hasa baada...
Ndugu wanaJF nikiwa katika harakati za kutafuta mchumba katika mkoa wangu wa Mtwara nimebahatika kukutana na mabinti 4 lakini wote tumeshindwana yaani wawili ni tofauti za dini mimi mkristo na wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.