The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,897
- 19,080
Kila siku naona kilio wanaume wakilia kukosa wanawake wazuri wa kuoa, haina maana wanawake wa kuolewa hawapo, wapo ila wamehodhiwa na mabazazi.
Nuwaombe mabazazi na wengine wote mnaohodhi idadi kubwa ya wanawake ambao hamtawaoa muwaachie wanaume wengine wapate wa kuoa, unamiliki warembo 10 na wote unawadanganya kuwaoa ingawa kiukweli kutawaoa nadhani uachie 6 ubakie na 4 angalau utakua umwaokoa wanaume 6 mtaani.
Mimi kwa mwaka huu nimerelease warembo 6 kutoka kwenye long list yangu ya warembo ili waangalie wanaume wazuri wenye nia njema na wao.
Tuwapunguzie wenzetu jamani. Nenda live connect na sehem nyingine wanaotafta watu wa kuoa ni wanaume huku wenzao tumehodhi wanawake zaidi ya kumi, tuwapunguzie.