Nimebahati kucheki moja tu mkuu, sikujua kuwa ziko mbili.
Ya kwanza inaitwa "Why did i get married", ya pili inaitwa " Why did i get married too" ni nzuri sana hizi.. enjoyThanks.....nitaitafuta.
Latest ni 2010Mkuu zinatofautiana? au hii ya 2010 ndio latest?
Asante kwa ufafanuzi wako mkuu, as you said Tyler Perry anajitahidi sn kwakweli kutoa elimu ya mahusiano kwa kutumia movie zake, ngoja nisake na hii nyingine niendelee kujifunza zaidi.Ni kweli nzur japo movie za kitambo mno..
Tyler Perry anajitahidi sana kutengeneza movie zinazohusu maisha ya wanandoa na watu waliopo kwenye mahusiano! Pia ana movie kama ya 'Diary of Mad Black Woman' nzuri pia inafundisha.
Kwa wale wenye DSTV ana series program inaitwa 'The Haves and Haves not' pia nzuri sana, ipo channel ya OWN (Oprah Winfrey Network)