Majhura fikiri
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 121
- 13
Habari wana jf wenzangu wakibwa na wasalim agemate mambo vipi, leo nimeona nilete uzi mwingine huku! Mimi nauliza je hawa wanaotafuta wachumba, wapenzi, madem pamoja na marafiki hivi mnawapata kweli kwa hum ndani?