UNATAKIWA KUFIKIRI KWA KINA USIPOKEE TU UNACHOAMBIWA AU KUONA
Hebu pata picha ungekuwa unaishi mwaka 1950, ambapo hakukuwa na mtandao wa intaneti na hivyo chochote ambacho unataka kujua inahitaji...
Ni mfano tu.
Wewe umeoa mke ambaye alishawahi kuzaa na jamaa,na huyo mtoto unakaa naye hapo kwako,bahati mbaya mtoto akaumwa homa serious kidogo ikabidi baba yake aje ili wasaidiane kuuguza,naye...
Kuna wakati huwa tunataka kujilinda dhidi ya hisia tusizozipenda za matukio au mambo yenye kututokea. Tunataka kukwepa, mawazo, hisia na matarajio fulani.
Kwenye nadharia za kisaikolojia, kuna...
Habari wanaMMU.
Katika mahusiano kuna changamoto nyingi kadha wa kadha lakini kwa ujumbe kama huu hapa chini unachochea unyanyasaji ingawa bado sijajua undani wa ukweli/validity ya huu ujumbe...
Mimi nina rafiki yangu wiki hii nimegundua kuwa ni shoga, sasa nataka nimuite nimwambie kama mambo anayoyafanya siyo mazuri.
Kwanza nilianza kumtilia shaka sababu anapenda sana porn za wanaume...
Nimetazama tu, hasa wanaojicommit kuoa mke mmoja wengi hutafuta nyumba ndogo. Utakuta mtu kaoa mke mreeembo na mtulivu lakini bado tu atachepuka.
Mwingine utakuta ni mtu wa dini kabisa, na upako...
KILA MTU ANAWEZA, ILA WEWE USIFANYE
Kila mtu anaweza kumshushia mwingine chini, ila ni mashujaa peke yake ambao wanaweza kuwainua wengine.
Kila mtu anaweza kumkatisha tamaa mwingine, kumwambia...
Nikiri tu kuwa kabla ya kuwa baby mama about 2 years ago, nilikuwa mtu wa bata sana hapa mjini. By that time nishamaliza chuo na nimeajiriwa nikiwa na miaka 3 kazin kwenye ofisi flan hapa town, so...
I greet you my elders and young ones
Wanawake wengi wana huruka ya kushindwa kutunza information zao binafsi na zile wanazopewa na watu wa karibu yao.
Wanaume kuweni makini na mambo unayomweleza...
WANAWAKE Vs WANAUME (FACTS)
1. Uwezo wa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja.
Ubongo wa wanawake umejengwa ktk msingi wa kuweza kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Mwanamke anaweza akaangalia...
Wanajukwaa habari zenu?
I hope ni wazima wa afya. Nimekuja kwenu kupata uzoefu kwa maana naona kama yanataka kunishinda hivi!.
Nina mpeni ambaye ni binti wa miaka 24 hivi nimedumu nae kwa muda...
Ni mwezi huu nilipoamua kuwaokoa wadogo zangu wawili na ndoa za utotoni. Iko hivi:
Wakati nikifanya utaratibu wa kumwendeleza kielimu mdogo wangu wa miaka 14 wa kike aliyefeli la 7,kumbe baba...
Mambo vipi wanaume wenzangu marijali?
Hivi mfano uko kwenye mahusiano na binti anakuambia haya maneno kuwa ''Honey, i will die in your arms'' hivi huwa wanamaanisha kweli au ndio kuongopeana tu...
Leo nilikua nimeshika simu yake nikaingia inbox nikakuta kuna message katumiwa na mwanaume kaandika hivi;'We ni noma sana unajua thanks na yeye aka reply hiyo ndo show ya kwanza subiri ya pili'...
siku zote mwanamke anajisikia raha wakati wa tendo la ndoa kuliko mwanaume
FUATILIA
KATI YA SIKIO NA KIJITI WAKATI WA KUJICHOKONOA KIPI KINAPATA STAREHE
SO MWANAMKE SHE IS FAN.
CHANGAMOTO TULIYONAYO VIJANA KWA WAZEE NI KUONGEA UKWELI
Mara zote sema ukweli, ni rahisi sana kwa sababu hutakuwa na haja ya kukumbuka mengi. Unapodanganya inabidi utunze kumbukumbu sana, ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.