lauzi96
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 422
- 797
Mimi nina rafiki yangu wiki hii nimegundua kuwa ni shoga, sasa nataka nimuite nimwambie kama mambo anayoyafanya siyo mazuri.
Kwanza nilianza kumtilia shaka sababu anapenda sana porn za wanaume watupu, muda mwingi anaangalia hizo humkuti na za kawaida. Sasa ndio juzi bahati mbaya kasahau simu yake nikaingia whatsapp nikakuta anachat na jamaa kama yeye ndio demu anamsifia sana jamaa kuwa ame sex naye fresh, nikaangalia na msg za kawaida nikakuta hvyo hvyo!
Mimi nataka ajue kama nishamjua na nimshauri kuacha michezo hiyo, au wewe kama great thinker ungefanyaje?
Ungemuacha tu aendelee 'kudinywa' au ungechukua uamuzi gani?