Epuka kumshirikisha mwanamke kwa kitu chochote

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,738
3,198
I greet you my elders and young ones

Wanawake wengi wana huruka ya kushindwa kutunza information zao binafsi na zile wanazopewa na watu wa karibu yao.

Wanaume kuweni makini na mambo unayomweleza mwenza wako hususani kipindi unapopewa mahabati ya kumwaga,she can use such information against you, trust me kama mnafikiri nawadanganya mkifika mbinguni mkamuulize Samsoni kilichomkuta kwa Delila.

Hili tatizo liko kwa baadhi ya wanawake walio kwenye ndoa na wasiokwenye ndoa, angalia mambo yanayoweza kufaa kumwambia mwenza wako na yasiyofaa piga imyakimya, maswala ya hukunishirikisha, tupa kule.

Umewahi jiuliza katika Biblia kwanini IBRAHIM hakumwambia mkewe SARA kuwa mtoto wao ISAKA anapaswa kutolewa sadaka? Any way akili za kuambiwa changanya na za kwako.

Wish you a lovely week end.

I have been a women's nightmare this week,i welcome their criticism. but please don't make it personal,i love&adore you .
 
Nakubaliana na wewe taarifa utakayomficha mkeo labda iwe haramu kama ujambazi na the like....Ila watu wengi hasa sisi wanaume tumeacha familia zetu kwenye wakati mgumu sana pale tunapopatwa na vifo vya ghafla kutokana na hiyo inayoitwa siri dhidi ya wake zetu wanakuwa hawajui taarifa zozote za shughuli zetu za kibiashara ama uwekezaji hivyo mwanaume akifa na miradi inakufa ama inadhulumiwa na family inabaki kwenye mateso mazito.....Mkishakuwa mwili mmoja haina haja ya kufichana fichana.
 
Hata sie hatuhitaji hivo visiri na vi information (ila jua tukizihitaji mtazisema tuuuu tena bila kushurutishwa) tuna masiri yetu kibaooo yamejaa kila mahari, tunashindwa hata pa kuyasemea
Tatizo hamkai nazo kimyaa! mkiambiwa na dharau zinaanza kumwagika.
kuna jamaa yangu alimwambia mchumba wake ukata alionao ndo ikawa ticket ya mdada kutafuta mwenye hela,wakati wangeweza kujenga maisha pamoja.muhimu kuchagua nini muambiwe.
 
Tatizo hamkai nazo kimyaa! mkiambiwa na dharau zinaanza kumwagika.
kuna jamaa yangu alimwambia mchumba wake ukata alionao ndo ikawa ticket ya mdada kutafuta mwenye hela,wakati wangeweza kujenga maisha pamoja.muhimu kuchagua nini muambiwe.
Sasa badala upambane unasema huna hela, uachwe tu hakuna namna.... afu ukata unaonekana tu hata usiposema
 
Hata sie hatuhitaji hivo visiri na vi information (ila jua tukizihitaji mtazisema tuuuu tena bila kushurutishwa) tuna masiri yetu kibaooo yamejaa kila mahari, tunashindwa hata pa kuyasemea
Kwamfano wewe unaweza kumwambia mumewako umeshauwa vitoto vingapi?
 
Wanaojua na kuthamini maana ya ndoa hatamficha mwenzie jambo lolote. Mnaficha mambo ambayo hayafai kufichwa...mwisho wa siku aibu tupu. Mweleze ukweli na hapo ndio utajua aina ya mke au mume uliye nae.
 
mmh usiponiambia nikaja kugundua kheee kheeeee mnatujua tulivyo na maneno kuliko kamusi
 
Kuna ndugu mmoja kazini alikosana na wife wake na wakaachana jumla.. Kumbe yule jamaa alikuwa anatumia vyeti vya marehemu kaka yake wa kumfuata na hata utendaji wake ulikuwa wa wasiwasi sana kazini. Alimpa info mke wake juu ya hilo la kutumia vyeti vya broo. Walivyoachana mwanamke alikuja ofisini na picha ya kaburi la kaka mtu na msalaba unaonyesha jina na copy ya vyeti vya kuzaliwa vya jamaa. Jamaa aliamua kuacha kazi mwenyewe kabla mwajiri hajazaanza kumkomalia..
 
Back
Top Bottom