Hivi binti akikuambia haya maneno, anakua anamaanisha kweli au fix tu?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,928
15,803
Mambo vipi wanaume wenzangu marijali?

Hivi mfano uko kwenye mahusiano na binti anakuambia haya maneno kuwa ''Honey, i will die in your arms'' hivi huwa wanamaanisha kweli au ndio kuongopeana tu ili nizidi kumpa hela?
 
Mambo vipi wanaume wenzangu marijali?

Hivi mfano uko kwenye mahusiano na binti anakuambia haya maneno kuwa ''Honey, i will die in your arms'' hivi huwa wanamaanisha kweli au ndio kuongopeana tu ili nizidi kumpa hela?

Wewe ulitaka akwambieje........kwa mfano......?.....
 
Hahahahahaha!! Ni sawa na kumchekesha mtu anaedaiwa kodi mwezi wa kwanza hachekesheki.
 
kwa ulimwengu sasa mhh...kwanza chunguza hayo maneno anakwambia current status yako ya maisha ikoje. kama anasema mda upo fresh lyfe linakuendea vzr basi huwezi ukawa na uhakika wa 100%
 
Vutika mkuu,panda dau inaitwa,unanikumbusha wimbo unaitwa grenade wa bruno mars I'd catch a grenade for ya
Throw my hand on a blade for ya
I'd jump in front of a train for ya
Naupenda sana huu wimbo,Bruno anajua bwana.
 
Mkuu,fanya jaribio dogo tu..jidai hauna kazi,hama kwenye huo mjengo,yani ufunge fungia na magari yako humo..hamia kwa mama mwasiti choo cha jumuiya..mlango kanga!!..mtaarifu ulipohamia..muelezee yaliyokusibu..muite apaone panavyotia kinyaa..baada ya week uone Kama atakupendaga..!!!!
 
Hapo kaka unarbwa rembwa ili utoe mpinga vizuri, na usishangae na mwenzako anaambiwa maneno hayo hayo
 
Back
Top Bottom