Hiyo wala haisaidii...angemletea vijana wamshughurikie hadi hamu imuishe
Mi naona dawa kali kuliko zote ni; ukimfumania laivu mwambie jamani mpenzi pole kwa kazi ngumu, hebu vaa twende zetu home, halafu ukiwa mwenye furaha kanakwamba hakuna ubaya wowote unaoendelea pale.Dawa ya mchepukaji mtangaze mtandaoni... kila atakaemuona atajua niwako huyo
Mi naona dawa kali kuliko zote ni; ukimfumania laivu mwambie jamani mpenzi pole kwa kazi ngumu, hebu vaa twende zetu home, halafu ukiwa mwenye furaha kanakwamba hakuna ubaya wowote unaoendelea pale.
Ikiwa atakuwa mjinga akakubali muondoke wote, mkifika home mwanalie maji mlazimishe akaoge na akirudi bafuni baada ya kuvaa, maisha yaendelee usimuulize chochote mbaki mkiongea mengine tuu.
Nina uhakika ataondoka home mwenyewe bila kufukuzwa