Haka katabia kwa wanaume wenzangu kupenda bikra ili hali wao wenyewe washatumika si sawa imekabidhiwa haswa wa kijinsia acheni hiki kitabia msiwafanye dada zetu wakose amani
Bikra kutoka ni...
Jana katika pitapita zangu Pub flan A Town maarufu sana mitaa ya Kati, nimesikia meza ya pili jamaa akilalamika ya kwamba rafiki yake anatembea na mke wake pia ameaanza kumfatilia nyumba ndogo...
Kuwa na rafiki wa kweli mwenye 98% ni muhimu sana katika maisha yako. Njia ya kumjua rafiki wa kweli hutokana na mapito katika maisha yako wewe binafsi. Rafiki wa kweli utamtambua kuanzia mwaka...
FURAHA INAWEZA KUNUNULIWA?
Kila mtu anataka furaha kwenye maisha yake. Hata wale ambao wanafanya makosa, wanafanya hivyo wakiamini yatawaletea furaha. Hakuna mtu ambaye atapewa kati ya furaha na...
Habari wana MMU
Leo nimeamua kuandika haya baada ya mimi mwenyewe kujifanya uchunguzi yakinifu bila kuunda Tume yoyote ILe
Uchunguzi wa kujichunguza mimi mwenyewe ulilenga Direct KWANINI KILA...
Wadau,
Mimi natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 hata kama ana mtoto/watoto sawa tu tuanzishe mahusiano maana naona hawa wasichana wadogo wananisumbua tu bado hawajamaliza usichana. e-mail yangu...
Mayor wa manispaa ya Uthekela hapo South Africa ameanzisha mfuko maalumu wa kuwasomesha bure wasichana mabikra..
Na ili kuendelea kupata sponsorship hiyo kila ukitoka nyumbani likizo lazima...
HABARI WANA JF
UNAKUTA MWANAUME UNAMKE NDANI YA NYUMBA LAKINI TABIA YAKO KILA MWANAMKE AKIPITA MBELE yako unamtongoza je huridhiki na mkeo?
NANYI WANAWAKE WA CHIPS MAYAI tabia zenu mbovu kufuga...
Kumekuwa na visa vingi vinavyotokea ndani ya ndoa kupelekea vijana wengi hasa wanaoanza maisha kuwa waoga kuingia katika taasisi hii ya ndoa!
Wanawake nao wanalalamika wanaume wa siku hizi sio...
Wakuu,
Kisa chenyewe ni hiki;
Mwenzenu mke wangu hasomeki. Mimi nina rafiki yangu tangu enzi hizo tuko primary. Huyu jamaa yangu, binti yake kaolewa na sasa ni mjamzito. Kama mnavyojua ujauzito...
Safu hii inaendelea kuwaletea elimu kubwa ili kuwaweka wasomaji wake kwenye uelewa mkubwa kuhusu mapenzi na maisha.
INAVYOJULIKANA
Mara nyingi wanaume wamekuwa wakitajwa kama sababu kubwa ya...
Habari ndugu zangu,
Juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipompeleka hospitali nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni.
Nashindwa...
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26.
Nilikuwa na mpenzi tuliyedumu naye kwa takribani miaka miwili na miezi kadhaa sasa. Ni wiki iliyopita tu alitoka kuniambia kuwa mimi na yeye mapenzi yetu...
I greet you all.
Watajwa hapo juu ni wanawake ambao hawana waume/mahusiano ya kudumu.
Wanaomba wapate japo mwanaume atakaweza kumsitiri, wengi wao ni wale ambao umri wa kugombaniwa na wanaume...
Kichwa kinajieleza wazi watoto wanne wa familia moja wananimaliza hakika nimeduu Na mmoja wao lkn hawa wenhine hawajui in wazr sn ila hawamzidi huyu nilieduu nae ila tamaa zinanisukuma...
Hapa chini nitaeleza baadhi ya vijimambo vya wanawake vinavyodhibitisha udhaifu wao wa kutokuwa wakweli:
(1) Tangu kukua kwangu nimewahi kutembea na mwanaume mmoja tu maishani mwangu tena...
Usiku huu wa kwanza wa Honeymoon yetu ningependa nikwambie haya yafuatayo......
Harusi sasa imeisha, kila mtu amesharudi kwao. Hakuna muziki tena, hakuna kwaito tena. Harusi yetu ilikuwa nzuri...
Wadau nawasalim,
Ninahitaji ushauri wenu ama nimsamehe wife au la kutokana na kitendo chake cha kuikimbia nyumba na kwenda kuishi kanisani
Ipo hivi;
Mwaka 2012 mke wangu alianza kuhudhuria...
Najua wote mko poa kabisa, tokea mwezi uliopita kuna vitu vinatokea kwa mke wangu sivielewi kabisa. Kabla ya hapo tulikua tunachangia gharama za nyumbani 65%/35%.
Lakini cha ajabu tokea mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.